Hivi apple huwa zinatiwa nini? Nina apple limekaa zaidi ya mwezi lakini halina hata dalili ya kuoza!

Ulitaka Tuone vidole vyako siyo!
 
Si kila mtu anawaza ujinga kama wewe Mkuu, kama huna cha kuchangia unapita tu kimya kimya
Unapoweka andiko hadharani ni haki ya hadhira kuchangia! Kama unaogopa michango usiyoitaka acha kuandika. Ukiandika kubali michango ya kila lahaja
 
Unapoweka andiko hadharani ni haki ya hadhira kuchangia! Kama unaogopa michango usiyoitaka acha kuandika. Ukiandika kubali michango ya kila lahaja
Mkuu bwana, yaani clearly unatoka nje ya mada na bado unatetea upuuzi🤦‍♂️🤦‍♂️, haya endelea kukagua vidole ulete uzi
 
Imebidi nikagugo, kwahiyo tunakula solutions wanayopakwa maiti ili zisiharibike, hii ni hatari🤯
Usitishwe bure. Hakuna kitu kama hicho. Sana sana yanakuwa bio-engineered ili yaweza kukaa kwa muda mrefuKwanza ni vizuri tujue kuwa apples ni kama tunda geni kwenye nchi yetu. Nchi zilizoendelea apples ni kama matunda asili na yanaliwa kweli kweli kweli. Lakini hakuna side effects zozote na watu wana afya nzuri tu. Unajua yale maparachichi yanayouzwa Ulaya? Hata yale yanadumu muda mrefu tofauti na haya makubwa.
 
Mkuu bwana, yaani clearly unatoka nje ya mada na bado unatetea upuuzi🤦‍♂️🤦‍♂️, haya endelea kukagua vidole ulete uzi
Usitake kila mtu aone andiko kama unavyotaka! Nasisitiza kama hutaki michango inayokinzana na matakwa yako, acha kuandika. After all haikuwa na ulazima kuambatisha picha. Kwa Jicho lingine tunadhani una lengo jingine maana hata hapa JF wapo. Usisahau umekiri kuwa unaishi pekee. Niendelee kudadavua au niachie hapo?
 
Bila ya kukaa kwenye friji? Kuna wakati nilisikia sikia kuwa yanalimwa huku na kisha kusafirishwa Afrika Kusini then tunakuja kuuziwa tena, sina uhakika though kama ni kweli au lah!

Japokuwa linalosemwa lipo, kama wanavyotumia cocktails za madawa kuweka kwenye mazao mpaka hakuna mdudu anayesogea au madawa wanayopewa kuku ili wanenepe na huku kutakuwa hakuna kibaya kinachofanyika kama wadau wanavyosema?
 
Mkuu endelea kuchambua vidole👐👐🤦‍♀️
 
Hakuna ukweli wowote mkuu. South Afrika ni nchi nzuri sana kwa kulima apples na wanalima kitaalam haswa. Kwa kifupi niseme Ulaya wako makini sana na usalama wa vyakula. Ogopa vyakula vya Bongo kwa sababu kuna watu wanyama sana na wanafanya chochote kwa sababu hakuna usimamizi wa kutosha. Labda uniambie hayo ma apples kuna namna wanayafanya hapo hapo Bongo? Sijui.
 
Kuna wadau hapo juu wamesema inawekwa hiyo, nakumbuka enzi za Magu iliwahi kuzuka hili upande wa samaki
 
Mkuu,hako kamkono kako yaelekea ni katamu sana kwenye mambo yetu yale hasa kwenye sekta ya kunyonya koni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…