IkowelyamauHicho ni kipande cha wamachame kilimeguka na ni kutokana ma mavita ya kiukoo yaliyokuwepo wakati wa zamani. Hilo halina ubishi mila wamechanganya kidogo na za kimasai, lugha imebaki ileile ya wamachame (akina mbowe) , majina ni yale yale, lugha ni ile ile, matambiko ni yaleyale, dini ( walutheri) ni ile ile na chama (peoposi) ni kile kile .
Hata ilo tusi bado ni la kimachame tu ukweli utabaki pale paleIkowelyamau
Kuunshaamekaichoo?Hata ilo tusi bado ni la kimachame tu ukweli utabaki pale pale
Kweli kabisaMMERU +MMACHAME=1
akiongea mmeru mmachame anamuelewa tofauti ni maneno tu,ni kama vile msukuma na mnyamwezi.na inasemekana hawa watu walitokea machame.
Hivi ile laana ya wale wamisionary wa kijerumani waliowaletea dini ya K.K.K.T halafu mkawashambulia mkidhani ni wanyonyadamu mlishaiondoa?Kuunshaamekaichoo?