Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
KisembyonyikukariHivi ile laana ya wale wamisionary wa kijerumani waliowaletea dini ya K.K.K.T halafu mkawashambulia mkidhani ni wanyonyadamu mlishaiondoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KisembyonyikukariHivi ile laana ya wale wamisionary wa kijerumani waliowaletea dini ya K.K.K.T halafu mkawashambulia mkidhani ni wanyonyadamu mlishaiondoa?
Kwi!!!??Kisembyonyikukari
Mwisho wa kunukuu maneno ya KimeruKwi!!!??
Mm sio mmeru ila cjapenda iyo lugha yako!! Ni nan alikuambia kuna kabila la maana kuliko lingne? Mm naona hata kama ilo kabila lina idadi ya watu mia na kabila tuu..na Luna hadhi Sawa na makabila mengne!!hebu weka makabila ya maana kikabilagani hicho si kama wandengereko tu
Ww unawajua nilotes ww? Wachaga ni wabantu..wamasai ,waluo,mang'ati ndo nilotes..Wameru na wachagga ni niĺotes toka Ethiopia,ni warembo na wasomï wasio yumbishwa
Baada ya kuchoshwa na matukio ya awamu ya tano ngoja leo tujifunze kidogo kuhusu kabila la Wameru
Mpaka sasa hivi haswa sijafahamu asili ya hawa jamaa wengine wanadai ni machame but wa karibu zaidi na Wameru ni waarusha na Wamasai kwa magharibi na jamii ya wasiha kwa mashariki
Maswali yangu ni haya:_
1. Ilikuaje wakafika arusha wakahamia wotee na lugha yao??maana kiasili nimeambiwa arusha walikuja tu.
2.Nini kiliwafanya wakimbilie arusha
3.Kwanini hawajiiti wachaga wakati wanatumia lugha ya kichaga??
,
Karibuni wajuzi,,,,
Mkuu kwanzaWameru hawatumii lugha ya kichaga mkuu, wana lugha yao kimeru. Pia wameru sio wamasai wala wachaga.
Wameru ni WAMERU tu
Yaap. lahajaKwani wachaga nawenyewe lugha zinapisha kutoka sehem moja kwenda nyingine
Yangu wa moshi tofaut na rombo
Rombo tofaut machame??