Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,068
- 2,314
Hicho ni kipande cha wamachame kilimeguka na ni kutokana ma mavita ya kiukoo yaliyokuwepo wakati wa zamani. Hilo halina ubishi mila wamechanganya kidogo na za kimasai, lugha imebaki ileile ya wamachame (akina mbowe) , majina ni yale yale, lugha ni ile ile, matambiko ni yaleyale, dini ( walutheri) ni ile ile na chama (peoposi) ni kile kile .
Exactly ! Asili yao ni WAMASAI (Paternal) + WAMACHAME (Maternal)