Hicho ni kipande cha wamachame kilimeguka na ni kutokana ma mavita ya kiukoo yaliyokuwepo wakati wa zamani. Hilo halina ubishi mila wamechanganya kidogo na za kimasai, lugha imebaki ileile ya wamachame (akina mbowe) , majina ni yale yale, lugha ni ile ile, matambiko ni yaleyale, dini ( walutheri) ni ile ile na chama (peoposi) ni kile kile .
Kwa nini wa meru wa Kenya ni warembo zaidi kuliko wa meru wa Tanzania ?Mkuu kwanza
wameru "Warwa"
wapo wa aina
mbili,
wameru wa Kenya
na wa hapa hapa Tz,
Wanaishi sana Milima ya
Meru,
Pia wana asili
kama ya uchaga
flani ivii..
Lugha wanayoongea
ni Kirwo,
sio kichaga,upo
sahihi budaa
Siyo kweli kwani Wameru wanafuata ukoo wa baba ingekuwa kama ulivyoandika wangekuwa na koo za Kimaasai lakini ni kinyume chake .Exactly ! Asili yao ni WAMASAI (Paternal) + WAMACHAME (Maternal)
Wameru hawatumii lugha ya kichaga mkuu, wana lugha yao kimeru. Pia wameru sio wamasai wala wachaga.
Wameru ni WAMERU tu
Kimeru siyo kimachame.Acha ujinga kama jambo hulijui ni vyema ukauliza na kuambiwa na wajuzi wa jambo lenyewe.Kimeru ni kimachame 100%.Tena baadhi ya koo zipo kote kote eg Urio,Urassa,Massawe.....
Mmeru ni mmeru na mchaga ni mchaga. Kimeru ni Kimeru na kimachame ni kimachame. Kama hutaki hulazimishwi baki na ujinga wako.Acha ujinga kama jambo hulijui ni vyema ukauliza na kuambiwa na wajuzi wa jambo lenyewe.Kimeru ni kimachame 100%.Tena baadhi ya koo zipo kote kote eg Urio,Urassa,Massawe.....
Hawasikilizani ila kwa mtu asiyefahamu hizo lugha akiwasikiliza atafikiri ni lugha moja kumbe ni tofauti kabisaHivi wameru wa kenya na wa tanzania wanasikilizana?
Ova
Mure mutanumbue ifo muuchie mutashewirwaa.
Off line kabisa Wameru basically ni Wachaga sio wasambaa, wasambaa walikuja baadae kwa ajili ya kazi za kupasua mbao, na kulimo. Asili ya wameru ni Wachaga. Tukumbuke Wachagga walitokea Mashariki na kuelekea Magharibi. Njia ya kupitia Ukambani wakitokea North yaani Ethiopia. Mnaweza kunikosoa wanaojua tofauti kwani nilisoma historia yao tu.Inasemekana Wameru walifikia mlima huo miaka 800 hivi iliyopita wakitokea milima ya Usambara, Mkoa wa Tanga. Walikuta huko wawindaji walioitwa Wakoningo ambao walikuja kumezwa na jamii ya Wameru.
Lugha ya Wameru ni KIRWO
Huu ujinga wa kila kabila kusema lilitoka Ethiopia sijui utaisha lini,kwani waethiopia wao walitokea wapi kwani?Off line kabisa Wameru basically ni Wachaga sio wasambaa, wasambaa walikuja baadae kwa ajili ya kazi za kupasua mbao, na kulimo. Asili ya wameru ni Wachaga. Tukumbuke Wachagga walitokea Mashariki na kuelekea Magharibi. Njia ya kupitia Ukambani wakitokea North yaani Ethiopia. Mnaweza kunikosoa wanaojua tofauti kwani nilisoma historia yao tu.
Nililiona kwenye maandishi wewe hutaki kwani linakuudhi nini. Wao wameandika historia yao je kabila lako linatokea wapi Msitu wa Kongo au? Mimi kabila langu tunatoka South Africa kwa Zulu kuna kosa?Huu ujinga wa kila kabila kusema lilitoka Ethiopia sijui utaisha lini,kwani waethiopia wao walitokea wapi kwani?
Wale wa Kenya nao wanatoka mlima Meru wa Kenya naona Makabila haya yamepata jina kutokana na mahali wanapoishi zaidi ya asili yao.Msisahau Kenya Pia kuna wameru, tena wanafanana exactly na wameru wa Tz, hadi kafudhi, culture na Lugha kwa kiasi, pia asili yao ni milimani, na pia ni kabila dogo huku but lina ushawishi. Wameru wa huku pia hata akija Tanzania akasema ni mchaga hakuna mtu atakataa kwa muonekano ni wachaga kabisa, maybe lugha itawatofautisha.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Waethiopia wao wametokea wapi? Simple tu πππNililiona kwenye maandishi wewe hutaki kwani linakuudhi nini. Wao wameandika historia yao je kabila lako linatokea wapi Msitu wa Kongo au? Mimi kabila langu tunatoka South Africa kwa Zulu kuna kosa?
Ethiopia na Wairaq au Wambulu...hawa hata ukiwaona sidhani kama utakua na haja ya kuleta ubishani.Huu uzi watu wa kaskazini hawachelewagi kujiita asili yao ni Ethiopia na Uyahudi.