Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Ndiyo maana nikastuka kidogo, ila nadhani rbn na pop zinachananya watu. Mimi hadi leo nikiambiwa bad ya Michael Jackson ni rnb huwa sielewi kabisa. Binafsi huwa naona ni pop yenye element za funk...[emoji3][emoji3]
Bad ni pure Pop music sio R&B hata kwa 5% sio kabisa.......
 
Kuna ngoma aliimba Whitney Houston na Mariah Carey inaitwa when you believe......

Aiseee ule wimbo huwa unanichukua sana na una message nzuri sana...
Whitney alikuwa na uwezo wa kuimba sauti ya 1 hadi ya 3 kwenye wimbo, Celin anajua sauti 1 moja 1, Celin hata kwa Maria Kelly havuki
 
My love is ur love, The greatest love of all, Nazingine sikumbuki majina Houston kamsikilize anavyobadilisha sauti kuendana na mapigo ya muziki hatari
Yap hata namba zinambeba Whitney Houston hata hvyo Celine Dion ana bonge la vibe
 

Nashukuru kumuona Celin Dion anatoka na hits song zake ,watoto wengine wa humu huyo kwao ni Old xul,wakati wetu ndio alikuwa Upcoming Artist.
 
Binafsi naona Zuchu akiendelea hivi hivi atawafunika wote hao, aanze kuimba kwa lugha ya kupandia pipa tyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…