Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Bad ni pure Pop music sio R&B hata kwa 5% sio kabisa.......Ndiyo maana nikastuka kidogo, ila nadhani rbn na pop zinachananya watu. Mimi hadi leo nikiambiwa bad ya Michael Jackson ni rnb huwa sielewi kabisa. Binafsi huwa naona ni pop yenye element za funk...[emoji3][emoji3]