Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,010
Hapo ni queen of hip hop au Queen of rnb,?
View attachment 1648519
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni queen of hip hop au Queen of rnb,?
View attachment 1648519
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah lolZwuchu
Whytney Ni habari nyingineWhitney alikuwa level nyingine aisee,aretha franklinWhitney Houston & Celine Dion - Greatest Love Of All (Duet) - YouTube
[emoji16][emoji16][emoji16] family affair sio kundi Ni jina la nyimboSasa unazungumzia kundi ? Au yeye marry j bridge?
Yeye huyo anagonga hip pop,,na soul muzic,,,
Yeah soko la mziki like vurugika mnooo watu hawaimbi Tena emotional songs ..wakati hizi nyimbo ndio zilikuwa zinateka Sana hisia za watuNaweza kusema kwenye mziki kuna kizazi kilikuwa cha mziki mtamu sana, hii ni kwa aina mbalimbali za mziki.
Kwa sasa ujanja ujanja mwingi eti mziki biashara, huko mbeleni naogopa kusema mimi!
Michael alikuwa anaimba pop ..na ndio maana akapewa heshima ya king of pop duniani baada ya kuutendea vyema mzikiNdiyo maana nikastuka kidogo, ila nadhani rbn na pop zinachananya watu. Mimi hadi leo nikiambiwa bad ya Michael Jackson ni rnb huwa sielewi kabisa. Binafsi huwa naona ni pop yenye element za funk...[emoji3][emoji3]
RealNi mzuri huyo lakini haoni ndani kwa Marehemu Whitney Houston.
Ahahhaha duun kutofautisha hizo mambo kazi sanaMarry J Bridge ni soul$HipHop Queen
Kwenye makundi ni Westlife, Boy2Men, Atomic Kitten, Destiny's Child, Backstreet boys, Black Eyed pears,Vichwa vyangu hivi
1.R kelly
2.celline dion
3.whitney houston
4.tony braxton
5.mariah carey
SHANIA TWAIN & DOLLY PARTON WANANIKUNA SANA AISEEBinafsi namkubali sana huyu mama.
Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo unaweza angalia hata na familia yako.
Nyimbo zake zinatuliza nafsi, zinaponyesha maumivu ya moyo kwa waliotendwa..pia zina inspire never to give up...
Binafsi ngoma zake zote nazikubali.
Huyo ndio Celine dion mwenye asili ya canada
COAT OF MANY COLORS HUWA SIACHI KUSIKILIZASHANIA TWAIN & DOLLY PARTON WANANIKUNA SANA AISEE
hii mambo ni tamu hataree!COAT OF MANY COLORS HUWA SIACHI KUSIKILIZA
Uwiiii, enzi zile miaka ya 2000 mwanzoni, nakumbuka nikiwa mdgo tho najitambua, kitu ya forever and for always ilipigwa tukiwa sebleni na mzee wangu tumekaa, japo sijui kimombo lakn nilijawa na hisia kali sana mpaka nkaanza kulia, hawa watu walibarikiwa sanahii mambo ni tamu hataree!
fanya kumsogeza kenny Rogers karibu na Dolly Parton, utaskia " islands in the stream"
utachomokaje sasa!
duh,ila Dion bado mbabe tu!
Yes. SI mwingine Bali Amba LuluBinafsi namkubali sana huyu mama.
Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo unaweza angalia hata na familia yako.
Nyimbo zake zinatuliza nafsi, zinaponyesha maumivu ya moyo kwa waliotendwa..pia zina inspire never to give up...
Binafsi ngoma zake zote nazikubali.
Huyo ndio Celine dion mwenye asili ya canada
Ile Cabinet iliyoimba "we are the world" ikiongozwa na Michael Jackson daah hakuna wa polepole aisee ikija issue ya kila mmoja kusimama individually....BRITNEY SPEARS...MICHAEL BORTON..My all time favourites:
Wanawake:
1. Celine Dion - power of love, best of the best
2. Whitney Houston - i will always love you, my all time best of the best
3. Mariah Carey
4. Shania twain
Wanaume:
1. Philip Collins
2. Michael Bolton
3. Luther Vandrous
4. R. Kelly
Makundi:
1. Westlife
2. Backstreet boys
3. Boys II men
4. Spice girls
Enzi hizo unasikiliza muziki unakuingia mifupani na moyoni unajikuta unalia tu
Where has time gone?
Nyakati zimeenda wapi?
Life is a mystery
Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app