Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

Attachments

  • Screenshot_20201213-071805.png
    Screenshot_20201213-071805.png
    84.7 KB · Views: 3
Naweza kusema kwenye mziki kuna kizazi kilikuwa cha mziki mtamu sana, hii ni kwa aina mbalimbali za mziki.

Kwa sasa ujanja ujanja mwingi eti mziki biashara, huko mbeleni naogopa kusema mimi!
Yeah soko la mziki like vurugika mnooo watu hawaimbi Tena emotional songs ..wakati hizi nyimbo ndio zilikuwa zinateka Sana hisia za watu
 
Ndiyo maana nikastuka kidogo, ila nadhani rbn na pop zinachananya watu. Mimi hadi leo nikiambiwa bad ya Michael Jackson ni rnb huwa sielewi kabisa. Binafsi huwa naona ni pop yenye element za funk...[emoji3][emoji3]
Michael alikuwa anaimba pop ..na ndio maana akapewa heshima ya king of pop duniani baada ya kuutendea vyema mziki
 
Binafsi namkubali sana huyu mama.

Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo unaweza angalia hata na familia yako.

Nyimbo zake zinatuliza nafsi, zinaponyesha maumivu ya moyo kwa waliotendwa..pia zina inspire never to give up...
Binafsi ngoma zake zote nazikubali.

Huyo ndio Celine dion mwenye asili ya canada
SHANIA TWAIN & DOLLY PARTON WANANIKUNA SANA AISEE
 
hii mambo ni tamu hataree!
fanya kumsogeza kenny Rogers karibu na Dolly Parton, utaskia " islands in the stream"
utachomokaje sasa!

duh,ila Dion bado mbabe tu!
Uwiiii, enzi zile miaka ya 2000 mwanzoni, nakumbuka nikiwa mdgo tho najitambua, kitu ya forever and for always ilipigwa tukiwa sebleni na mzee wangu tumekaa, japo sijui kimombo lakn nilijawa na hisia kali sana mpaka nkaanza kulia, hawa watu walibarikiwa sana
 
My all time favourites:

Wanawake:
1. Celine Dion - power of love, best of the best
2. Whitney Houston - i will always love you, my all time best of the best
3. Mariah Carey
4. Shania twain

Wanaume:
1. Philip Collins
2. Michael Bolton
3. Luther Vandrous
4. R. Kelly

Makundi:
1. Westlife
2. Backstreet boys
3. Boys II men
4. Spice girls

Enzi hizo unasikiliza muziki unakuingia mifupani na moyoni unajikuta unalia tu

Where has time gone?

Nyakati zimeenda wapi?

Life is a mystery

Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
 
Binafsi namkubali sana huyu mama.

Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo unaweza angalia hata na familia yako.

Nyimbo zake zinatuliza nafsi, zinaponyesha maumivu ya moyo kwa waliotendwa..pia zina inspire never to give up...
Binafsi ngoma zake zote nazikubali.

Huyo ndio Celine dion mwenye asili ya canada
Yes. SI mwingine Bali Amba Lulu
 
My all time favourites:

Wanawake:
1. Celine Dion - power of love, best of the best
2. Whitney Houston - i will always love you, my all time best of the best
3. Mariah Carey
4. Shania twain

Wanaume:
1. Philip Collins
2. Michael Bolton
3. Luther Vandrous
4. R. Kelly

Makundi:
1. Westlife
2. Backstreet boys
3. Boys II men
4. Spice girls

Enzi hizo unasikiliza muziki unakuingia mifupani na moyoni unajikuta unalia tu

Where has time gone?

Nyakati zimeenda wapi?

Life is a mystery

Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
Ile Cabinet iliyoimba "we are the world" ikiongozwa na Michael Jackson daah hakuna wa polepole aisee ikija issue ya kila mmoja kusimama individually....BRITNEY SPEARS...MICHAEL BORTON..

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom