TRA wanakamata mali uliyoshindwa kuilipia kodi na ushuru bandarini, baada ya siku 21 wanasema wataipiga mnada au la ulipe ushuru na faini.Financial Analyst hiki ni kichekesho, mtu anazamia ili aondokane na umaskini lakini anatekwa anaambiwa atoe $6,000. Azitoe wapi
Huenda ukawa sawa maana sijawahi kuishi ila visa vya matumizi ya bunduki na mauaji hata kwenye world homicide ranks marekani wanaongozaUneathiriwa na movies, hakuna sehemu salama kuishi kama Marekani. Hayo unayosema yapo hapo South Africa
Kama kuna ndugu wenye uwezo wa kuchanga kiasi hicho, kwanini ahangaike na kujiingiza katika hatari hizoWanahisi ndugu zake watamchangia
Kikutu ni nini mkuuWaache kukimbilia maisha simple huko ulaya, ndio maana wanakamatwa na kuteswa na hao slave masters wa North Africa.
Bora wangekuja huku Kisaki niwape connection ya mashamba na watoto watamu wa kikutu.
Dunia hii ni unafiki mkuuKuna movie moja nadhan inaitwa "le capitano" hii movie inasadifu hiki ulichoandika. Kuna ukatili unaendelea Libya ila dunia imeamua kula kimya.
vitu kama hivi ingekuwa Israel kafanya hivi ungeona ulimwengu wote wawafia dini ungelaani IsraelUnaweza kudhania hivi ni vipande vya filamu ila hizi ni picha za ukweli.
View attachment 3195547
View attachment 3195549
Huyo binti hapo juu, mwenye asili ya Kihabeshi anaripotiwa kutekwa na kuteswa. Watekaji wanahitaji dollar 6000 ili aachiwe huru. Yupo katika mateso tangu may 2024. Hao wengine nyuma yake ni wahanga wa utumwa. Nina uhakika 100% huyu binti wameshambaka sanaa masikini [emoji22]
Hii ndio picha yake alivyokuwa uraiani.
View attachment 3195567
Mzizi wa neno kikutu, ni WAKUTU.Kikutu ni nini mkuu