Hivi AU na UN wanafanya jitihada zipi kuushinda utumwa wa binadamu unaofanyika Libya? Au hadi Israel ihusike ndiyo tuone mabango kila kona?

Hivi AU na UN wanafanya jitihada zipi kuushinda utumwa wa binadamu unaofanyika Libya? Au hadi Israel ihusike ndiyo tuone mabango kila kona?

Financial Analyst hiki ni kichekesho, mtu anazamia ili aondokane na umaskini lakini anatekwa anaambiwa atoe $6,000. Azitoe wapi
TRA wanakamata mali uliyoshindwa kuilipia kodi na ushuru bandarini, baada ya siku 21 wanasema wataipiga mnada au la ulipe ushuru na faini.

Sasa kama ulishindwa kulipa ushuru kawaida, utaweza wakati umeongezewa na faini?😄😄
 
Uneathiriwa na movies, hakuna sehemu salama kuishi kama Marekani. Hayo unayosema yapo hapo South Africa
Huenda ukawa sawa maana sijawahi kuishi ila visa vya matumizi ya bunduki na mauaji hata kwenye world homicide ranks marekani wanaongoza
Pia vifo vinavyotokana magenge ya uhalifu wanaongoza hii ni kutoka kwa Trump mwenyewe
Ila sababu sijafika siwezi sema sana
SA nimeishi kiwango Cha uhalifu ni Cha juu sana
 
Waache kukimbilia maisha simple huko ulaya, ndio maana wanakamatwa na kuteswa na hao slave masters wa North Africa.
Bora wangekuja huku Kisaki niwape connection ya mashamba na watoto watamu wa kikutu.
Kikutu ni nini mkuu
 
Kuna movie moja nadhan inaitwa "le capitano" hii movie inasadifu hiki ulichoandika. Kuna ukatili unaendelea Libya ila dunia imeamua kula kimya.
 
Kuna movie moja nadhan inaitwa "le capitano" hii movie inasadifu hiki ulichoandika. Kuna ukatili unaendelea Libya ila dunia imeamua kula kimya.
Dunia hii ni unafiki mkuu

Imeamua kuangalia maswala mengine kwa sababu ni ya faida kwao
 
Mtu anayeenda Libya willingly anastahili kutekwa aisee. Yaani bora angejiua mwenyewe tu kuliko kupoteza nauli kwenda kufia huko.
 
Sipati picha hao wadada wanavyobakwa huko jamani..
 
Unaweza kudhania hivi ni vipande vya filamu ila hizi ni picha za ukweli.

View attachment 3195547
View attachment 3195549

Huyo binti hapo juu, mwenye asili ya Kihabeshi anaripotiwa kutekwa na kuteswa. Watekaji wanahitaji dollar 6000 ili aachiwe huru. Yupo katika mateso tangu may 2024. Hao wengine nyuma yake ni wahanga wa utumwa. Nina uhakika 100% huyu binti wameshambaka sanaa masikini [emoji22]

Hii ndio picha yake alivyokuwa uraiani.

View attachment 3195567
vitu kama hivi ingekuwa Israel kafanya hivi ungeona ulimwengu wote wawafia dini ungelaani Israel
 
Back
Top Bottom