sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
TRA wanakamata mali uliyoshindwa kuilipia kodi na ushuru bandarini, baada ya siku 21 wanasema wataipiga mnada au la ulipe ushuru na faini.Financial Analyst hiki ni kichekesho, mtu anazamia ili aondokane na umaskini lakini anatekwa anaambiwa atoe $6,000. Azitoe wapi
Sasa kama ulishindwa kulipa ushuru kawaida, utaweza wakati umeongezewa na faini?😄😄