Hivi Azam FC, Abubakar Salum 'Sure Boy' huwa anawapa nini zaidi kugharimu timu?

Tumia akili kufikiri na kuelewa. Sina shida ya matokeo kitendo cha mchezaji ni kiovu ambacho mechi tatu anakosa

Nitumie akili...je, wewe unatumia akili kweli kutoa tuhuma mbaya dhidi ya mchezaji tuhuma ambazo hata huna uhakika nazo? Ni nani atumie akili, kati yangu na wewe?? Huna uhakika na issue acha kutoa comment...mpira wa hisia na majungu umepitwa na wakati...halafu jifunze kutumia lugha nzuri kwenye mijadala...huna haki hata kidogo kumwambia mwenzio hatumii akili katika kufikiri...uwe na tabia ya mtu mzima kwenye mijadala...ukubali kutokubaliana na wenzio...Haiwezekani wewe ndiyo uwe unatumia akili katika mijadala na wenzio eti hawatumii akili...kwa hiyo unadhani kusema au kuandika kuwa yule mchezaji anahujumu timu ndiyo kutumia akili???!!!
 
Uliposema Yanga hupaswi kushinda ndo thread ambayo ipo online? Hapa tunamzungumzia mchezaji ndo maana nikakuambia hivyo.
 
tuangalie hata dakika alizopewa kadi
 
Dah! Maskini wa kufikiri wewe. Umetoa povu kana kwamba anakukazia demu wako! Mmefumaniana uwanja wa fisi nini! Kama ni soka tu, basi fikiri zaidi, umekosea sana au huujui mpira. Ni shabiki limbukeni.
Ndo umeandika nini hapo. Mambo ya uwanja wa Fisi peleka mbele huko
 
Uliposema Yanga hupaswi kushinda ndo thread ambayo ipo online? Hapa tunamzungumzia mchezaji ndo maana nikakuambia hivyo.

Hukuielewa comment yangu...tulia na uisome vizuri na uelewe nilikuwa na maana gani...punguzeni jazba nyie wapenzi na wafuasi au/na wanachama wa Simba..msighadhabike kwa ushindi wa Yanga...tumieni lugha nzuri kwenye mijadala...Mechi bado nyingi mno na ligi hii bado mbichi...bado mechi 15 hivi kama sijakosea....ligi ni sawa na mbio za marathoni...
 
Acha kuhamisha goli, jibu nilivyokuuliza, uliposema Yanga hupaswi kushinda ulikuwa na maana gani?
 
Nilitegemea Simba wenzangu mfurahie Azam kufungwa, lakini..

Shida yetu ni kuchukua ubingwa, tuache huu ushabiki maandazi.

Asanteni watani kwa kutufanyia hisani.
 
Kapewa red ya moja kwa moja au ni ni njano mbili? Sasa kama sio straight red card basi sio mechi 3.
Asante. Alianza na njano then red card. Kwahivyo ni mechi mbili
 
Acha kuhamisha goli, jibu nilivyokuuliza, uliposema Yanga hupaswi kushinda ulikuwa na maana gani?
Hukuielewa comment yangu...ndiyo maana nimesema soma tena na uelewe mantiki yake
 
Acha kuhamisha goli, jibu nilivyokuuliza, uliposema Yanga hupaswi kushinda ulikuwa na maana gani?

Very interesting...narudia kusema soma tena comment ile ndipo utaelewa maana na mantiki yake...kwa kukusaidia mimi sikuandika 'Yanga hupaswi kushinda..'...hii ya sasa umeandika wewe....kwenye comment yangu niliuliza swali....niliandika hivi......"...yaani Yanga haipaswi kushinda??..." hilo lilikuwa ni swali.... Ndiyo maana nasema uwe unasoma vizuri comments za wenzio...
 
..niliandika hivi......"...yaani Yanga haipaswi kushinda??..." hilo lilikuwa ni swali...

Ndo swali ambalo nimekuuliza kuwa ulikuwa na maana gani? Kama huwezi kujibu, tuishie hapo, maana haina haja kujaza maandishi.
 
Hujui kitu wewe. Na yaonyesha hujamfuatilia Sure Boy. Huyu kila mechi ihusio Yanga, uliza sisi tunaomjua.
But kuna siku alichangia Yanga kupigwa 4G kule Zanzibar kwenye Kombe la Mapinduzi. Sijui siku hiyo alikuwa anamhujumu nani Mkuu wangu!!!!!
 
Sure boy ndo man of the match... kesi amechaz faulo, refa ameshapuliza filimbi... wachezj washatulia, yy from no wher anakuja kumsukuma kesi kwa makusud tena mbele ya refaa... Kazi kwenu Azam kusuka au kunyoa
 
Sure Boy anacheza mpira mpaka leo au huyo mwanawe karithi jina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…