Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi.
Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au mimi ndio sijaona(nimepitiwa)?
Tusaidiane.
Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au mimi ndio sijaona(nimepitiwa)?
Tusaidiane.