Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwani tumeshaanza kuuogopa weledi wa kitanzania kuonekana?Tusipangie cha kuripoti tafadhali
Yaani akili yako umewekeza kwa mabalozi kumkomboa gaidi Mbowe, patheticNaangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi.
Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au mimi ndio sijaona(nimepitiwa)?
Tusaidiane.
Tunajua mnaumia na tunasubiri kuona mtakuja na tamko gani au mtakuwa wapole.Yaani akili yako umewekeza kwa mabalozi kumkomboa gaidi Mbowe, pathetic
Kwani kwa kumpa Mbowe kesi fake ya ugaidi, sisi kama Taifa tunapata nini?Wakionesha au wasipoonesha hii itasaidia nini kama taifa?
Ajenda ni chadema ife. Mpe Mbowe kesi ya ugaidi aozee jela, Lissu akija hapa piga Hamza nneKwani kwa kumpa Mbowe kesi fake ya ugaidi, sisi kama Taifa tunapata nini?
Kwanza kbs aliwahi kuhusishwa na kifo cha Chacha Wangwe kwa sababu ya kuulinda uenyekiti wake, pili aliwahi kuhusishwa na tuhuma za kutaka kumpa sumu Zito kwa sababu zinazofanana na Chacha Wangwe, tatu ilisemekana kuwa wakati Ben saa8 anapotea alikuwa anatokea ofisini kwake, nne kauli au onyo alilompa waziri mkuu mstaafu mh Sumaye kuwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi hii inaonesha kuwa yeye ni mtu wa aina gani. Sidhan kama ww ungekuwa mmoja wa watoto au ndugu wa karibu na Chacha Wangwe ungeandika haya unayoandika hapa. Kifupi tuiachie mahakama ifanye kazi yake. Kama kesi aliyopewa sio yake ataachiwa kama walivyoachiwa kina Mdude na yeye mwenyew ktk kesi zingine alizowahi kushinda na kurudishiwa hela. Lkn sio kukimbilia kulalamika kuwa kabambikiwa kesi na wakati ashatuhumiwa na mambo mengi yanayohusiana na maisha ya watu. Waswahili wanasema "moyo wa mtu msitu". Sina uhakika kuwa huwa anakwambia kila analolifanya maishani kwake.. Kumbuka kuwa Mtu anaweza kuwa sheikh, mchungaji, au padri mchana.. kumbe usiku ni mchawi, jambazi, mlevi nk. RIP Chacha Wangwe hakika malipo ni hapa hapa duniani.Kwani kwa kumpa Mbowe kesi fake ya ugaidi, sisi kama Taifa tunapata nini?
Aisee!
Mabavicha tokeni mafichoni mkampiganie mwenyekiti wenu!
Yani hata Hamza anawashinda?