Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Unawezaje kuwa tajiri halafu ukasubiri wachezaji wazuri kutoka timu za ndani ndio uwasajili badala ya kutumia hela zako kusaka wachezaji wa kimataifa moja kwa moja kutoka huko nje?
Japo kuna wanaowsajili moja kwa moja kutoka nje ya nchi, lakini ni wazi wanangoja vilabu makini(na hapa Yanga) wasajili wachazaji wazuri kisha waanze kuwarubuni kama Fei au wakiona mchezaji amevuma basi watatumia fedha zao kumsajili.
Nafahamu soka ndio ilivyo(kuchukuliana wachezaji), lakini nilitarajia wao wenye fedha, ndio wawe vinara wa kuleta wachazaji wa kimataifa wanaowiki katika ligi yetu na sio kutegea wachezaji wazuri kutoka vilabu vya humu ndani. Vinginevyo, tutaamini wana hela lakini hawajui kuzitumia kusajili au hawana makocha wanaoweza kuwasaidia kutafuta wachazaji wazuri wa kimataifa.
Azam badilikeni.