HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Hela hamna Mkuu. Tujikubali tulivyo sio kusingizia mvua na Upinzani Kila siku.Kipande cha Dar-Moro kilicheleweshwa kuzinduliwa mwez november kwa sababu mvua kubwa ambayo iliadhiri culverts na drilling ya tunnel hivyo kazi kusimama kupisha mvua.
Ya Wakenya tayari inafanya kazi kwa Zile km600 ambazo washajenga, hapa kwetu hata km100 zimetushinda kukamilieha. Wewe ni moja wa vipofu wa Jemedari John Pombe Magufuli?Ile yenu baada ya uzinduzi inangoja mpaka mwezi wa saba kutumika! Mkopo wa Mchina haungoji! Matokeo bila-bila!
![]()
Not a single cargo train at Naivasha
$1.5b Naivasha inland container stays idle a month after launch SUNDAY FEBRUARY 2 2020 Kenya’s Suswa station during the commissioning of SGR Phase 2A. Kenya is hoping to increase the volumes of transit cargo being transported on the SGR. About 30 per cent of all cargo coming through Mombasa...www.jamiiforums.com
Anaingizwa mkenge na mtu anayetafuta umaarufu wa kisiasa kwa kueneza uwongo kwenye mitandao ya kijamii.LOL na updates za kila mwezi hamzioni, progress ya mradi ipo mitandaoni toka mradi uanze kila mwezi update inatolewa.
Eti zito aliesema ndege zinazonunuliwa ni mitumba zote na ni mbovu ndio aongelee jema kuhusu sgr?
Huyo zito ndio alisema trillion 3 hazionekani
Kwani zilioneka sasa hizo trillion 3LOL na updates za kila mwezi hamzioni, progress ya mradi ipo mitandaoni toka mradi uanze kila mwezi update inatolewa.
Eti zito aliesema ndege zinazonunuliwa ni mitumba zote na ni mbovu ndio aongelee jema kuhusu sgr?
Huyo zito ndio alisema trillion 3 hazionekani
Mabeberu ndio hao munalalamika Zito kaenda kuwambia wasitoe mkopoBado kuna Visokorokwinyo Serikalini waliodhibitiwa kwny Upigaji huwa wanavujisha Taarifa za Serikali kwa Vibaraka wa Mabeberu
TISS ipige tochi vyema kuwatambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nyinyi mmejenga km ngapi kwa pesa yenu na big gdp?Hamna
Hela hamna Mkuu. Tujikubali tulivyo sio kusingizia mvua na Upinzani Kila siku.
Kwani nyinyi mmejenga km ngapi kwa pesa yenu na big gdp?
Angalau sisi tumeanza na 1.2$bln ya mfukoni mwetu,nyinyi na big GDP mlianza na ngapi ya mfukoni?Ulisikia lini tukijitia sifa za kijinga kwamba tutajenga kwa hela yetu ya ndani, nyie mlianza kwa kujitutumua eti mnajenga kwa kodi za wauza nyanya, mkasababisha maisha yawe magumu kwa wananchi wa kawaida na bado mkashindwa kufanikisha chochote, imewabidi mkasake mikopo yenye riba ghali ilmradi mfaulu kusonga.
Angalau sisi tumeanza na 1.2$bln ya mfukoni mwetu,nyinyi na big GDP mlianza na ngapi ya mfukoni?
Sasa nyie mliokopa mbona kadri siku zinavyo kwenda maisha ya wakenya yanazidi kuwa magumu kweli kweli kuliko ya watanzania huku serikali ya Kenya ikisitisha kuajiri,Ulisikia lini tukijitia sifa za kijinga kwamba tutajenga kwa hela yetu ya ndani, nyie mlianza kwa kujitutumua eti mnajenga kwa kodi za wauza nyanya, mkasababisha maisha yawe magumu kwa wananchi wa kawaida na bado mkashindwa kufanikisha chochote, imewabidi mkasake mikopo yenye riba ghali ilmradi mfaulu kusonga.
Mwaka jana october sgr ilikua 65% huku wakiwa na malengo ya kufikia november iwe imefika 95% ili waizindue, hesabu za kawaida tu zikakataa, miaka 4 iko 65%, mwezi mmoja ndio iwe 95%? Baadae kimvua kikanyesha wiki 1 ilipofika November, wakatafta kisingizio kua mvua imechelewesha. Sasa mvua ilishaisha na walidai wanajenga milimani ambapo hakuna mafuriko, kwa nini hadi sasa haijaisha?Jamaa wamekua wakilaumu mvua eti ndio kisa cha kuahirisha ilhali walisema wameijenga milimani hivyo haidhuriki na mvua, leo ndio Zitto kaweka wazi, mkandarasi amekua akikaushwa hela.
[emoji36][emoji36]SGR kipande cha Dar-Moro kilikuwa kiishe Novemba, sasa kipo 70%. Kuisha mwaka kesho. Sasa mkopo wa Biashara wa Fedha za kigeni umechukuliwa. Riba 9%. Serikali ipo kwenye panic. Gharama za Ujenzi zinaongezeka ( costs over run ). Mbia mmoja wa Ujenzi ( Mreno) kabwaga manyanga
Mwaka jana october sgr ilikua 65% huku wakiwa na malengo ya kufikia november iwe imefika 95% ili waizindue, hesabu za kawaida tu zikakataa, miaka 4 iko 65%, mwezi mmoja ndio iwe 95%? Baadae kimvua kikanyesha wiki 1 ilipofika November, wakatafta kisingizio kua mvua imechelewesha. Sasa mvua ilishaisha na walidai wanajenga milimani ambapo hakuna mafuriko, kwa nini hadi sasa haijaisha?
Mwezi uliopita nikakutana na mshikaji wanguu anafanya huko kazi, nikamuuliza akaniambia hiyo sgr haiishi leo wala kesho kwa sababu wakandarasi hawalipwi kwa wakati na hakuna pesa. Wengine wanaacha kazi.
Nawaza hapa inawezekana hata kipande cha Dodoma Moro kisiishe kabla Magu hajaondoka madarakani. Je rais atakaekuja ataendeleza hiyo sgr au atakuja na mradi wake? Je mwanza itafika kweli? Maana inavyoonekana itahitajika miaka 15 hadi kufika Mwanza.
Binafsi I strongly support sgr project ila tatizo serikali imejichanganya, sisi hatuna uwezo wa kutekeleza miradi mingi at once, tulipaswa kufocus kwenye mradi mmoja au 2 kwa wakati mmoja, ila hii miradi mingi inawezekana kabisa isikamilike na ikawa imepoteza pesa zetu bure. Wahisani na watoa mikopo wakitubana tu kidogo hii miradi itakufa natural death.
Sasa hivi imf inailaumu afdb kua inatoa mikopo hovyo hovyo kwa mataifa ya afrika na kuyaongezea madeni na mzigo mkubwa wa madeni, Tanzania ni mkopaji mzuri sana afdb, wakianza kuminya itakua shida.
Miradi mingi at once haikua sahihi, sgr, atcl, rufiji hydro, kuhamia Dodoma, viwanja vya ndege, ukarabati wa bandari, kulipa madeni ya nyuma, mishahara, operating costs wakati tunaweza kukusanya 50 something percent ya budget yetu haikua mawazo ya busara. Ila now we are learning in the hard way.
Km 600 na tumekopaKwani nyinyi mmejenga km ngapi kwa pesa yenu na big gdp?
Mkiwa mnapokea misaada yao au mikopo kwenye mabenki yao mnawaita wafadhili,wahisani au washirika wa maendeleo.Bado kuna Visokorokwinyo Serikalini waliodhibitiwa kwny Upigaji huwa wanavujisha Taarifa za Serikali kwa Vibaraka wa Mabeberu
TISS ipige tochi vyema kuwatambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Take it easy bro....Mwaka jana october sgr ilikua 65% huku wakiwa na malengo ya kufikia november iwe imefika 95% ili waizindue, hesabu za kawaida tu zikakataa, miaka 4 iko 65%, mwezi mmoja ndio iwe 95%? Baadae kimvua kikanyesha wiki 1 ilipofika November, wakatafta kisingizio kua mvua imechelewesha. Sasa mvua ilishaisha na walidai wanajenga milimani ambapo hakuna mafuriko, kwa nini hadi sasa haijaisha?