Hivi bado huwa mnalinganisha SGR Kenya vs Tanzania? Naona Zitto Kabwe kawaumbua kinoma

Hivi bado huwa mnalinganisha SGR Kenya vs Tanzania? Naona Zitto Kabwe kawaumbua kinoma

SGR kipande cha Dar-Moro kilikuwa kiishe Novemba, sasa kipo 70%. Kuisha mwaka kesho. Sasa mkopo wa Biashara wa Fedha za kigeni umechukuliwa. Riba 9%. Serikali ipo kwenye panic. Gharama za Ujenzi zinaongezeka ( costs over run ). Mbia mmoja wa Ujenzi ( Mreno) kabwaga manyanga

Mtu anayeshangaa suala la cost overrun na extension of time ni mchumi au mtu ambaye ana very little knowledge na sekta ya ujenzi, hususan ujenzi wa miradi mikubwa (civil & building projects). Labda kwa kumsaidia layman kama Zitto na wengine kama yeye kwenye eneo hili ni kwamba mradi wowote wa ujenzi si rahisi kuisha katika muda na gharama zilizoko katika makisio na mkataba. Na kusema ukweli, hata ukijenga kajumba ka vyumba viwili vitatu, ukafanya makisio kabla basi mpaka mradi unaisha uwezekano wa kuwa na cost overrun na ‘late completion’ ni 95%. Kama unabisha, fanya uchunguzi kidogo tu hata wa miradi mitano tu unayoijua...
 
Jamaa huwaumbua, duh amekua mwiba kwa jamaa wa CCM.
Halafu he is damn smart, they're always scared of engaging him on a debate.

Wewe MK254 wafaa kuwa mtanganyika,,uandishi wako tofauti na wakenya wenzio. Uko vizuri mkuu!
 
Mabeberu ndio hao munalalamika Zito kaenda kuwambia wasitoe mkopo
Yaani wakiwa na Zito huitwa mabeberu ila Serekali ikitaka kukopa huitwa wahisani
Ukisikia unajitekenya nakucheka mwenyewe ndio hapo
Na sasa 2020 Zito na wapinzani wote watakua nje ya bunge watachambua sana Serekali mapaka tutaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaetoa mkopo anaitwa mhisani toka lini.
 
Mwaka jana october sgr ilikua 65% huku wakiwa na malengo ya kufikia november iwe imefika 95% ili waizindue, hesabu za kawaida tu zikakataa, miaka 4 iko 65%, mwezi mmoja ndio iwe 95%? Baadae kimvua kikanyesha wiki 1 ilipofika November, wakatafta kisingizio kua mvua imechelewesha. Sasa mvua ilishaisha na walidai wanajenga milimani ambapo hakuna mafuriko, kwa nini hadi sasa haijaisha?
Aya yako hii ya kwanza inaonesha jinsi ulivyo mtupu, hujui kinachoendelea.

Mpango wa kupitisha reli ya SGR milimani haujaanza baada ya mvua, umekuwepo kwenye michoro toka mwanzo. Wewe umesikia wakipanga kuipitisha reli ya MGR (iliyosombwa juzi) milimani ukakurupuka kudhani ni ile ya SGR.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Aya yako hii ya kwanza inaonesha jinsi ulivyo mtupu, hujui kinachoendelea.

Mpango wa kupitisha reli ya SGR milimani haujaanza baada ya mvua, umekuwepo kwenye michoro toka mwanzo. Wewe umesikia wakipanga kuipitisha reli ya MGR (iliyosombwa juzi) milimani ukakurupuka kudhani ni ile ya SGR.
Wewe unaejua kinachoendelea tuambie kwa nini sgr haikukamilika mwaka jana November hadi sasa iko 70%?
 
Kipande cha Dar-Moro kilicheleweshwa kuzinduliwa mwez november kwa sababu mvua kubwa ambayo iliadhiri culverts na drilling ya tunnel hivyo kazi kusimama kupisha mvua.
Unasimamisha kujenga tunnels kwa sababu ya mvua? Siyo kweli kwani tunnels hazipiti juu ya mlima, mbona zipo tunnels zinazopita nchini ya bahari ambako kila siku maji yapo juu yake.
 
Wewe unaejua kinachoendelea tuambie kwa nini sgr haikukamilika mwaka jana November hadi sasa iko 70%?
Mvua nyingi zilizokuwa zikenyesha zimekuwa zikichelewesha ujenzi, hasa wa madaraja.
 
Those are not facts, they're lies. Fuatilia vizuri zaidi au dhuru yapimerkez accounts in YouTube au reli TV in YouTube

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nashangaa Kwanini huwa hawapendi kuangalia zile video's za update za kila mwezi au hata kutembelea maeneo ujenzi unapo endelea.
 
Hizi excuse za kitoto kawaambie watoto wenzio.
Hufuatilii maendeleo ya ujenzi ndiomaana unabwabwaja, pale ruvu palikuwa chepe chepe na tope. Unafikiri mihimili ya daraja itasimikwa katika hali hiyo?
 
Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, mkandarasi ameahirisha ujenzi mara saba kwa kukosa kulipwa, hii imechangia Tz kuomba mkopo wenye riba kubwa ili mambo yaende, gharama za ujenzi zimeongezeka hadi kuwatokea puani.
Tatizo wenzetu walianza hii miradi kwa mbwembwe badala ya kutulia wawe makini kwenye mahesabu na kuacha misifa.
--------------------------------

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, amesema mwaka 2016 alishauri haiwezrkank kujenga mradk mkubwa wa Reli SGR kwa kodi za wauza nyanya.

Zitto ambaye ni kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter akimjibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo.

Zitto aliendelea kueleza kuwa “Imewachukua miaka 4 kuelewa hili na baada ya reli kuishia Morogoro wakandarasi kutokulipwa na kuahirisha uzinduzi mara 7,”.

Kiongozi huyo alisema kuendesha nchi ni maarifa sio maguvu na ukatili.

Awali Kitila alisema hoja ya msingi zinakwenda wapi? ” Tunajua kwa dhati fedha inayokopwa inakwenda kwenye miradi ya maendeleo na inaonekana. Na wewe ulishauri kwa bidii kuwa tusijenge hii kwa fedha za ndani,”aliandika Kitila kwenda kwa Zitto.


acheni ushabiki wa kijinga yani mnaichukia nchi yenu kwa ajili ya itikadi za kivyama manaleta uongo wenu tunajua hampendi kuona hii nchi ikipiga hatua na kuelekea uchumi wa kati mana hayo yakitokea wakati chama tawala sio chenu mnaumia sana kwa sababu mnaenendekeza uchama huku taifa mnalitupa nyuma nyinyi nikupinga kila kitu ili tu kuhakisha fahari airudi katika chama tawala atalinapo fanyika jambo la kupongezwa nyinyi ni wakwanza kubeza sasa mtakimbia wenyewe hii nch Tanzania inasonga reli itajengwa na itasaidia kuleta maendeleo kwa watu wote wa tanzania bila kujali vyama vyao kukopa ni jambo la baraka hatatukidaiwa alimradi tunafanya miradi ya maendeleo yenye tija najua mnaumia sana pale chama tawala kinapo pata fahari kutokana na mambo ya msingi yalio fanyika ambayo vyama vya upinzani na shindani havijawahi pongeza zaidi ya kununa na kuombea njaaa taifa hili NAIPENDA NCH YANGU NAJIVUNIA KUWA MTANZANIA UCHAMA NI UPOFU
 
Y

Ya Wakenya tayari inafanya kazi kwa Zile km600 ambazo washajenga, hapa kwetu hata km100 zimetushinda kukamilieha. Wewe ni moja wa vipofu wa Jemedari John Pombe Magufuli?
hakuna kitu kibaya kama dhambi ya kujidharau tushidwe kujenga reli nchii hii nitajiri ww endelea kuiombea njaa lakini jua reli itajengwaa hata kwa kukopa alimradi tuna vigezo vya kukopesheka najua inauma kwa watu wanao endekeza uchama kwa kujua kuwa fahari ya ujenzi wa reli bora na yakisasa itarudi kwa chama kilichopo madarakani itabidi vyama shindani visubiri mda wao badala ya kuleta ushindani usio natija zaidi ya kubeza na kuzuia fahari ya watanzania kwa itikadi za kichama
 
SGR kipande cha Dar-Moro kilikuwa kiishe Novemba, sasa kipo 70%. Kuisha mwaka kesho. Sasa mkopo wa Biashara wa Fedha za kigeni umechukuliwa. Riba 9%. Serikali ipo kwenye panic. Gharama za Ujenzi zinaongezeka ( costs over run ). Mbia mmoja wa Ujenzi ( Mreno) kabwaga manyanga
Hiko kipande kimeisha?
 
Back
Top Bottom