Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

Wanao honga 50000 wamepungua kwa 70/%. Na hii imekuja naturally baada ya wazee wazee wa bandari, trip za nje na wezi wengi kupotezwa na Ngosha. Sasahivi ni 10000 up to 20000/=
Hawajapungua. Wamepunguza idadi ya kuhonga. Yaani badala ya kuhonga wanawake 5 kwa siku tunahonga 2. Kiwango hakijapungua maana ni sehemu ya status. Ni kama ulizoea kunywa heness unaendelea kuinywa lakini unapunguza idadi ya chupa
 
Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
Ww ulitaka kumlipa pesa ngapi mkuu!na je bando lake linasomekaje maana kiwango cha bando nacho inategemea kama ni cha data za 2G,3G,H+ ,4Gau 4G+.
 
Wanao honga 50000 wamepungua kwa 70/%. Na hii imekuja naturally baada ya wazee wazee wa bandari, trip za nje na wezi wengi kupotezwa na Ngosha. Sasahivi ni 10000 up to 20000/=
Uctutangazie njaaa cc kama huna hela baki na hamu zako na uendelee kuna na hao wa hadhi yako ya 10000
 
Wapo wanaohonga hiyo hela mbona?? Unadhani utamu wa Papuchi ni wa mchezomchezo...Watu wanahonga hata Nyumba..Viwanja na Magari kisa tu Papuchii, we unashangaa hiyo 50 elfu pesa ya madafu??

Daah ila sisi wanaume aliyetuloga tuwe dhaifu kwa wanawake sijui atafufuka lini??
Wewe ndio mdhaifu.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Wewe ndio mdhaifu.
Mzee mwenzangu unakaza lakini kwenye mapenzi hamna ubabe na undava..Yaani wababe na wagumu wote ninaowajua ikifika kwenye mapenzi wanakuwa wadogo kinyama yani...Hawa wanawake wana namna yao...


NB: Haimaanishi mimi nahonga Gari, Pesa nyingi, nyumba na kiwanja...
 
  • Thanks
Reactions: lup
Ni kweli wamepungua sana wahongaji. Kuna kibopa mmoja alikuwa anapiga windhoek kuku wa kupaka anamuagiza bodaboda akalete kona bar sasa hivi anakunywa kwenye fremu ndogondogo serengeti,balimi na mwendokasi safari ndogo. Huyu kibopa ni share holder kwenye moja ya shipping lines tanzania. Hali imebadilika usipojipanga utapangwa. Na wale manabii siku hizi wengi kiki ya sadaka bahasha nne nne wameacha maana waumini wanaona hatari kitu gani hawaibuki madhabahuni tena
 
  • Thanks
Reactions: lup
50k tu unalalamika... watu tunahonga hadi magari asee
 
  • Thanks
Reactions: lup
Baki na hamu zako kama pochi yako imetoboka. Mjini cha bure salam tu.
Acheni kumkatiasha tamaa mbona tupo mjini na tunawafaidi bure tu tena wengi. Unajua mazoea kitu kibaya, ukizoea kuhonga huwezi kuacha na kuanzia first day ukimzoeza hela hapo bac utatoa hati ya nyumba. Ila hao hao mnaowaona eti wadada wa heshima wanatoa bure tena kiroho safi sana sana utalipia guest na chakula tu bac.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Bro Ww Eidha Ni Maskini Sana Au Bahili Sana. Huwezi Kushangaa Vitu Kama Ivyo. Watu Wanahonga Haswa. Labda Useme Ulimuona Huyo Demu Sio Wa Hadhi Ya Kumpa 50k Ila Ukikutana Na Mwenye Hadhi Yake Unatoa Bila Shuruti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nilishawahi kubanjuka classic girl baada ya mchezo akawa ananichek kwa pose flani la kuniambia toa chapaa, mkongwe nikavunga sijaelewa nikampa hela ya nauli tuu nikamwambia twende nikusindikize...
 
  • Thanks
Reactions: lup
Kuna wengine wana hela zao, 50,000 ni hela ya soda tu.
Nadhani hapa ishu sio bei, ishu ni kuuza. Kumbe kuna watu wananunua K? K hizi hizi ambazo mbuzi wanaziweka hadharani na kamkia wanakapandisha juu zionekane hadharani?

Yani hawa wanawake kibao wamejaa kitaa bado ninunue K??

Kweli kuna wanaume wengine bado wako karne iliyopita.
 
Back
Top Bottom