Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

Nilishahonga 500k pale tumaini na nikaoiga goli moja kwenye jicho ...yule binti nikaja kukutana naye town hapa kawa pilato kwenye moja ya mahakama za hakimu mkazi[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Acheni kumkatiasha tamaa mbona tupo mjini na tunawafaidi bure tu tena wengi. Unajua mazoea kitu kibaya, ukizoea kuhonga huwezi kuacha na kuanzia first day ukimzoeza hela hapo bac utatoa hati ya nyumba. Ila hao hao mnaowaona eti wadada wa heshima wanatoa bure tena kiroho safi sana sana utalipia guest na chakula tu bac.

[emoji23][emoji23][emoji23] kaazi Kweli Kweli !
 
Mwanaume ambae aliyepata mafunzo ya Jando hawezi jigamba hadharani kuwa yeye hahongi wanawake! Kumbe ndo maana hata baadhi ya wanaume wengine wanashindwa kuwatunza wake zao! Mwanamke lazima atunzwe! Mwanamke anahitaji sabuni ya kuogea, mafuta mazuri, manukato, nywele asuke vizuri, wanja n.k mpaka kakuvutia hadi ukamtaka unajidai umesahau kuwa usione vya elea vimeundwa? Hata Kama hajakuomba Kwa kuwa siyo mhuni lakini mtoe basi japo akanunue lotion iloisha na mtandio n.k
 
Mm hela hiyo simpi mwanamke sio kwa usawa huu wa magu. Familia iteseke kwa Siku moja na istoshe k yenyewe ukute inamaji wala radha haina puuuuuuuuh
Mkuu kwani zenye maji ni mbaya??!!!!
 
Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
Alfu50 mwanaume gani we fala nini Alfu50 niwasichana wa njaaa mi niliwai kuhonga 2000usd walai...lakin cha ajabu cjawai muhonga tena ila nomefqidi vingi sana kwake
 
Ndiyo maana inachukuliwa kwamba kuwa na m(mi)chepuko hakufai siyo kiimani na kiafya lakini pia kiuchumi! Mwanaume kuwa Na mwanamke mwingine nje ya ndoa kuna economic implications always! Kunakuwa na cash outflow ya familia! Fedha ambayo ingetumika Kwa maendeleo ya familia na ustawi wake wote badala Yake mwanaume unaipeleka Kwa hawara ambae hakuna return yoyote waweza inapata hata Kwa baadae!
 
Kwa wiki kama unahonga Mara 3 ni 150,000 *4*12
 
Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
mara ya mwisho wiki ilyo pita nimeripa $100 per night
 
Akili na udhaifu wa kufikiri ndio woga na umasikini wako waweza ulizia bei ya dada poa ukute hata shati hubadilishi, waonekana kinda sana ngoja ukue goigoi wewe watu wanhonga majumba unatupigia hadithi za hamsini humu toka humu hapakufai kawaulize maswali hayo ya kise.... Fb.
 
Imefika wakati watu wanamaliza shida zao kwenye magari au vyoo vya bar. Hela za lodge mtu anabajeti
 
Back
Top Bottom