Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,741
Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
 
Wapo wanaohonga hiyo hela mbona?? Unadhani utamu wa Papuchi ni wa mchezomchezo...Watu wanahonga hata Nyumba..Viwanja na Magari kisa tu Papuchii, we unashangaa hiyo 50 elfu pesa ya madafu??

Daah ila sisi wanaume aliyetuloga tuwe dhaifu kwa wanawake sijui atafufuka lini??
 
Bro Ww Eidha Ni Maskini Sana Au Bahili Sana. Huwezi Kushangaa Vitu Kama Ivyo. Watu Wanahonga Haswa. Labda Useme Ulimuona Huyo Demu Sio Wa Hadhi Ya Kumpa 50k Ila Ukikutana Na Mwenye Hadhi Yake Unatoa Bila Shuruti.
 
Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
Inategemeana na anavyokuchukulia mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: lup
50 hyo kwa quality ya kawaida sana mkuu,,wale top quality hyo si hela ya mafuta tu? Au kabao kamoja then anasepa?
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom