Hivi bado kuna watu wanatongoza wanawake?

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Ni July 2022 now, Bado Miezi mitano tu mwaka huu ukate.

Anyway, Nimekaa hapa sehemu moja kwenye viti virefu, warembo Wazuri kama wote kila nikigeuka, yani mambo ni mteremko.

Inasikitisha sana, tena sana kusikia kama bado kuna vijana wanaohangaika kupiga mistari (yaani kutongoza) mademu.

Niwatakie weekend njema.

1657527771642.png
 
Ukiwa unamanisha nini???
 
Kuna mademu wa kutongoza na kuna wa mademu wa kuchukua tu na kuondoka nae ila inategemea na mahitaji ya muhusika.
 
Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez
 
Good for you. Hongera kwa kutongoza na kuhudumia "mademu".

Lakini amini nakwambia, unapomtafuna mwanamke bila ya kumtongoza hata yeye mwenyewe anabaki akikutafakari "how did you get her to bed" .
Kutongoza ni aina fulani ya kuwa "submissive" kwao.

Kama ni mwanamke ambaye una malengo naye maishani, kutongozwa anastahili, lakini si kwa hawa mademu wa kupita .

Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez
 
Hivi,ukitafakari kwa kina,kutongoza ni nini?Ni kushawishi ili mkubaliane kufikia lengo.Je,kuna fixed time/muda maalum/kikomo wa kutongoza?Inategemea mtu mmoja hadi mwingine.Je,unaweza kutongoza bila kuongea(vocal symbols)?Ndiyo.Hata kwa kuangalia,kupapasa na hisia tu.Reference:Watu wasioona,sikia hata wasioweza kuongea au mabubu.
NB:Kumbe kila mmoja huwa anatongoza kwa aina na mfumo wake.Amen to that!
 
Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez
Huwezi kuwa na demu wa kununua lakini umetenga laki kila mwezi.
 
Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez
Mimi hii kitu nilikuwa naiita papuchi allowance hapo unakuta mpka inafika hata elfu 30000 tayari nishamla
Baada ya hapo natembea sijengi kibanda mimi

Sasa yeye ndio anaanza kunisumbua mimi namfanya nitakavyo
 
Kuna wanawake wanaojiuza na vijiwe vyao ni bar, cafe, hotel na kumbe zingine za burudani. Hawa huwa wapo kwenye mawindo muda wote maana ndiyo kazi zao za kujipatia pesa kwa njia ya umalaya. Watu wapo kazin
Hapo unajiona mjanja wakati watu wapo mawindoni ni sawa uende kwenye ile mitaa ya wadada wanaojiuza. Utaona kuna mwanamke anakufuata anataka mkapige show. Usije ukafikiri unapendwa sana. Watu wapo kazini
Wewe ni mgeni wa jiji. Umetoka kwenu huko kijijini, umekuja mjini unajiona mjanja.
Hauna tofauti na Konde boy
 
Ni July 2022 now, Bado Miezi mitano tu mwaka huu ukate.

Anyway, Nimekaa hapa sehemu moja kwenye viti virefu, warembo Wazuri kama wote kila nikigeuka, yani mambo ni mteremko.

Inasikitisha sana, tena sana kusikia kama bado kuna vijana wanaohangaika kupiga mistari (yaani kutongoza) mademu.

Niwatakie weekend njema.
Mkuu unakula Chipsi funga wewe

Na sikufichi ktk experience yangu ya kula chips funga au kuwa na demu

Bora Chipsi funga kwanza wanajali afya huli bila kinga au kupima , hakuna kupigana vizinga , no stress ya mahusiano hakuna kubaniwa gemu

Ila sasa kuwa na demu kuna raha yake ndio maana tunatongoza
 
Mi mademu wa kununua siwawezi.. mambo ya kula mzigo huku unajilinda usiibiwe hata usingiz hauji siyawezi.

Mi natongoza bado. Na mpaka nikutongoze ujue akili yangu imeprove huwezi kuwa changudoa. Uzuri ninafanya kazi chuoni na hela ya mizinga midogo midogo ninayo.. sipati shida kupata mahusiano

Mimi nimeshatenga laki 1 kila mwez kwa ajili ya napopata papuchi. Simpi moja kwa moja.. ndani ya hii bajet ya laki kuna vizawadi, kuna vocha, kuna shida zake.. yaani nachezesha gharama za papuch zisizid laki 1 kwa mwez
Muhimu kuwa na budget ya mademu. Ila laki mzeya mbona nyingi sana
 
Kuna wanawake wanaojiuza na vijiwe vyao ni bar, cafe, hotel ns kumbe zingine za burudani. Hawa huwa wapo kwenye mawindo muda wote maana ndiyo kazi zao za kujipatia pesa kwa njia ya umalaya.
Hapo unajiona mjanja wakati watu wapo mawindoni ni sawa uende kwenye ile mitaa ya wadada wanaojiuza. Utaona kuna mwanamke anakufuata anataka mkapige show. Usije ukafikiri bure ni hela
Vema.Ingawa mleta uzi anashawishi watu wasitongozane.Swali ni,Je inawezekana kukubaliana bila kukubaliana?Haiwezekani.Mtakuwa mmekataliana.Maana yake ni nini?Kitendo cha wawili,mwanaume na mwanamke,kuondoka wote ni hatua ya kukubaliana.Hivyo basi,haijalishi umetumia muda mwingi au mchache,mlitongozana na kukubaliana.
Na kutongoza haijalishi kwamba mmoja kaongea maneno mengi,kwa muda mrefu hadi mwingine akabaki kusikiliza na kuweka shingo kama ngamia anachinjwa.Mnaweza mkatumia hata ishara tu na muda mfupi mkaelewana.Nako ni kutongoza.Haiwezekani mtu akakufuata kutoka kituo A kuelekea kituo B bila mawasiliano,maelewano na kukubaliana.Kutongoza kupo palepale.Wengine niangusage,wale kule maharage ya "Shinyanga"!
 
Ni July 2022 now, Bado Miezi mitano tu mwaka huu ukate.

Anyway, Nimekaa hapa sehemu moja kwenye viti virefu, warembo Wazuri kama wote kila nikigeuka, yani mambo ni mteremko.

Inasikitisha sana, tena sana kusikia kama bado kuna vijana wanaohangaika kupiga mistari (yaani kutongoza) mademu.

Niwatakie weekend njema.
Inategemea kwako wewe kutongoza unamaanisha nini maana kwa mademu wa heshima zao kumpata ni lazima huoneshe nia na commitment hao unaosema labda ni wale wa one night stand lakini sio wa kuoa….. wazungu wanasema huwezi kubadilisha Malaya kuwa mke .
 
Kumbe ndio maana ndoa siku hizi hazidumu.
 
Back
Top Bottom