SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Ni July 2022 now, Bado Miezi mitano tu mwaka huu ukate.
Anyway, Nimekaa hapa sehemu moja kwenye viti virefu, warembo Wazuri kama wote kila nikigeuka, yani mambo ni mteremko.
Inasikitisha sana, tena sana kusikia kama bado kuna vijana wanaohangaika kupiga mistari (yaani kutongoza) mademu.
Niwatakie weekend njema.