Hivi Bajeti ya kukarabati viwanja vitano vya michezo tuliyopewa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 22/23 iliishia wapi?

Hivi Bajeti ya kukarabati viwanja vitano vya michezo tuliyopewa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 22/23 iliishia wapi?

Kwenye hili suala huwa naumia sana...hakuna ligi inayopendwa hapa afrika mashariki na hata na kati km hii yetu ...
Lakini wanashindwa hata kukarabati miundo mbinu hasa pitch.

Sasa ligi imeisha huu ndio wakat wa kukarabati viwanja
 
Watu wameshakula kwa urefu wa kamba yao.

Ni bora kumuamini malaya, kuliko kumuamini mwanasiasa.. kuna kipindi malaya anaugulia kweli, lakini si maneno ya wanasiasa.
 
Yeye na mkwe wake aliyemuamishia utalii wasanii wakubwa
 
Back
Top Bottom