Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,610 Jun 14, 2023 #1 Salaam ndugu zangu, Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu Nchemba: Viwanja vitano vya michezo vitawekwa nyasi bandia Jambo hili limeishia wapi? Au ndiyo mambo ya bajeti hewa ilimradi kufurahisha watu kwa muda?
Salaam ndugu zangu, Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu Nchemba: Viwanja vitano vya michezo vitawekwa nyasi bandia Jambo hili limeishia wapi? Au ndiyo mambo ya bajeti hewa ilimradi kufurahisha watu kwa muda?
M Mbuzi mee Senior Member Joined Dec 29, 2022 Posts 156 Reaction score 217 Jun 14, 2023 #2 Kwenye hili suala huwa naumia sana...hakuna ligi inayopendwa hapa afrika mashariki na hata na kati km hii yetu ... Lakini wanashindwa hata kukarabati miundo mbinu hasa pitch. Sasa ligi imeisha huu ndio wakat wa kukarabati viwanja
Kwenye hili suala huwa naumia sana...hakuna ligi inayopendwa hapa afrika mashariki na hata na kati km hii yetu ... Lakini wanashindwa hata kukarabati miundo mbinu hasa pitch. Sasa ligi imeisha huu ndio wakat wa kukarabati viwanja
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jun 14, 2023 #3 Mwanasiasa akikuambia KUMEKUCHA... Jiridhishe kwanza!
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jun 14, 2023 #4 Watu wameshakula kwa urefu wa kamba yao. Ni bora kumuamini malaya, kuliko kumuamini mwanasiasa.. kuna kipindi malaya anaugulia kweli, lakini si maneno ya wanasiasa.
Watu wameshakula kwa urefu wa kamba yao. Ni bora kumuamini malaya, kuliko kumuamini mwanasiasa.. kuna kipindi malaya anaugulia kweli, lakini si maneno ya wanasiasa.
M Mbuzi mee Senior Member Joined Dec 29, 2022 Posts 156 Reaction score 217 Jun 14, 2023 #5 Ila hawa wa Tanzania ndio hawajielew kabsaa
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Jun 14, 2023 #6 Yeye na mkwe wake aliyemuamishia utalii wasanii wakubwa
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jun 14, 2023 #7 Suley2019 said: Salaam ndugu zangu, Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu Nchemba: Viwanja vitano vya michezo vitawekwa nyasi bandia Jambo hili limeishia wapi? Au ndiyo mambo ya bajeti hewa ilimradi kufurahisha watu kwa muda? Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Suley2019 said: Salaam ndugu zangu, Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu Nchemba: Viwanja vitano vya michezo vitawekwa nyasi bandia Jambo hili limeishia wapi? Au ndiyo mambo ya bajeti hewa ilimradi kufurahisha watu kwa muda? Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]