Hivi benki inaweza kukupa mkopo kwa kitambulisho cha Ujasiriamali?

Hivi benki inaweza kukupa mkopo kwa kitambulisho cha Ujasiriamali?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.

Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
 
Hii ni tatizo la washauri wa mheshimiwa, hakuna bank wala taasisi yoyote ya fedha itakayotoa fedha zake kwa kutazama kitambulisho cha Dr Magufuli nasema hakuna narudia tena hakuna.
 
hata usijaribu kwenda bank na hicho kitambulisho cha wamachinga utaambulia kupigwa madochi bure
 
Hii ni tatizo la washauri wa mheshimiwa,hakuna bank wala taasisi yoyote ya fedha itakayotoa fedha zake kwa kutazama kitambulisho cha Dr Magufuli nasema hakuna narudia tena hakuna.
Siyo kwamba hajui. Anajua kuwa anawadanganya wamachinga.
 
"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe. Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
Anatufanya sisi wajinga....in Lisu's voice
 
[emoji848][emoji848]Hivi hivyo vitambulisho bado vipo? Nina clip ya mheshimiwa Sasa nataka nikakate kitambulisho chap alaf niende zang benk kukopa wakinizingua nawaonyesha clip sijui mnanishaur nikipata kitambulisho nianze na benki gan vile [emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio inawezekana
 
Sidhani kama Magufuli alijiandaa kwa hizi kampeni, anajikanganya mno.

Sasa ni vema akajiandaa kwa lolote hata kama ni kuwa one-term President.

Wanaomshauri vinginevyo ndio wale waliomwambia hana haja ya kupiga kampeni, ajabu anapiga tena kwa magoti.
 
Back
Top Bottom