Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu alidanganywa na polepole kwamba wawanunue wale mamluki njaa ili kuua chadema , hela zimepigwa na chadema haikufa , wamechanganyikiwa vibaya mno ! matokeo yake Bashiru anakesha kuunda vikosi vya kupora kura makambini , Siri imefichuka !Sidhani kama Magufuli alijiandaa kwa hizi kampeni, anajikanganya mno.
Sasa ni vema akajiandaa kwa lolote hata kama ni kuwa one-term President.
Wanaomshauri vinginevyo ndio wale waliomwambia hana haja ya kupiga kampeni, ajabu anapiga tena kwa magoti.