MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Nasubiri nipate hiyo Bank fasta nikimbie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
Kabla ya kupewa kitambulisho kuna form unajaza inakuwa na taarifa zako, pili kila mtaa umepewa namba fulani hadi fulani hivyo ni rahisi kumpata muhusika kupitia ofisi za mtaa."Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
mkuu kuna vitambulisho vingi tu havina picha, hata kadi za bank za crdb nbc hazina picha haimaanishi kwakuwa hakina picha basi hupati huduma"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)