Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Siyo kwamba hajui. Anajua kuwa anawadanganya wamachinga.Hii ni tatizo la washauri wa mheshimiwa,hakuna bank wala taasisi yoyote ya fedha itakayotoa fedha zake kwa kutazama kitambulisho cha Dr Magufuli nasema hakuna narudia tena hakuna.
Anatufanya sisi wajinga....in Lisu's voice"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe. Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
Ana PhD ya kudanganya watu.Jamaa ana PhD, inafikirisha mno!!
mzee huwa hajisikilizi wakati anazungumza.Hivi unamuamini huyo mtu ?