Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu alidanganywa na polepole kwamba wawanunue wale mamluki njaa ili kuua chadema , hela zimepigwa na chadema haikufa , wamechanganyikiwa vibaya mno ! matokeo yake Bashiru anakesha kuunda vikosi vya kupora kura makambini , Siri imefichuka !Sidhani kama Magufuli alijiandaa kwa hizi kampeni, anajikanganya mno.
Sasa ni vema akajiandaa kwa lolote hata kama ni kuwa one-term President.
Wanaomshauri vinginevyo ndio wale waliomwambia hana haja ya kupiga kampeni, ajabu anapiga tena kwa magoti.
Sidhani kama ni tatizo la "washauri wa mheshimiwa". Hili naamini haliwezi kutoka kwa washauri abadan. Ni la msemaji ambalo ni zao la dharau. Hata mtoto wa grade 2 anajua kwamba kitambulisho cha aina ile hakiwezi kuwa "collateral". By the way kama kitambulisho thamani yake ni TZS 20k, benki itampa sh ngapi?Hii ni tatizo la washauri wa mheshimiwa,hakuna bank wala taasisi yoyote ya fedha itakayotoa fedha zake kwa kutazama kitambulisho cha Dr Magufuli nasema hakuna narudia tena hakuna.
Ni kama sasa hivi wanahonga watu wahudhurie mikutano yao halafu pesa hizo hizo zinatumika kumchangia Lissu.Huyu alidanganywa na polepole kwamba wawanunue wale mamluki njaa ili kuua chadema , hela zimepigwa na chadema haikufa , wamechanganyikiwa vibaya mno ! matokeo yake Bashiru anakesha kuunda vikosi vya kupora kura makambini , Siri imefichuka !
Mkuu unabisha nini sasa wakati ukienda bank za chama chao ni chap kwa haraka tu"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe. Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
Haaaaaa labda za chato."Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
LISU tupe ufafanuzi jembe letuHaaaaaa labda za chato.
Yaani huyu Jiwe ametugeuza waTZ kama watu malofa na wapumbavu........."Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
Hahaaaaaa.........😁😀Bank ya CRDB branch ya chato itakuwa inatoa.
Duh............Ana PhD ya kudanganya watu.
Kwamba Sugu akamsugue mtu,ahahahahahndio inawezekana kwanini isiwezekane?
View attachment 1586109
"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
Hawawezi. Hata mimi binafsi siwezi kukupa mopo. kitambulisho ambacho hakina jina wala picha yako"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
Waulize CCM"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)
Hata SACCOSS zile za kule Nandiende haziwezi kutoa mkopo kwa kutumia kitambulisho cha mmachinga."Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe.
Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?" Mromboo(JF)