Hivi benki inaweza kukupa mkopo kwa kitambulisho cha Ujasiriamali?






Kasema sasa wewe unapinga nini?
 
Ata burigi unaingia nacho bila malipo
Mzee baba kachanganyikiwa
 
Kabla ya kupewa kitambulisho kuna form unajaza inakuwa na taarifa zako, pili kila mtaa umepewa namba fulani hadi fulani hivyo ni rahisi kumpata muhusika kupitia ofisi za mtaa.

Ila vinaweza fanyiwa maboresho, zinaweza nunuliwa mashine za kuchapishia vitambulisho kila ofisi ya mtendaji wa kata ikawekwa moja tukaongeza taarifa zaidi mfano post code ya mtaa anaoishi na namba yake ya nida, hili linazungumzika wala halina shida.

Kuhusu kupewa mkopo, zaidi ya kitambulisho kuna vigezo vingine vya kibenki vinahitajika, mfano uwezo wa mkopaji kulipa dhamana alizonazo etc...
 
mkuu kuna vitambulisho vingi tu havina picha, hata kadi za bank za crdb nbc hazina picha haimaanishi kwakuwa hakina picha basi hupati huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…