Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Ila wazee mayai ya kware ni kweli yanatibu. Mke wa staff mwenzangu alikuwa na severe ucleus, alitibiwa kwa kunywa mayai ya kwareHii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu hasa kukihusisha na nguvu za kiume kinapata soko sana. Akiibuka mtu leo na kusema mayai ya nyoka yanaongeza nguvu za kiume msako mkali utaanza kutafuta mayai ya nyoka popote mashimoni na mapangoni na ukitaka watu waanze kufuga nyoka tangaza kuwa mayai yake yanaleta nguvu za kiume