Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 472
- 815
Hivi jamani bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe Inaweza ikawa inamlipa au ni miyeyusho Tu ?
Nifikirie kitu kingine cha kufanya .
Nifikirie kitu kingine cha kufanya .
Mafuta ya elfu 10 yanakuingizia mpaka 80,000Hivi jamani bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe
Inaweza ikawa inamlipa au ni miyeyusho Tu .
Nifikirie kitu kingine cha kufanya .
Hii ni kwa dar mkuu.Mafuta ya elfu 10 yanakuingizia mpaka 80,000
Apo nimekuelewa kakaHii ni kwa dar mkuu.
Japo 80 haifiki lakini si haba wanapata washkaji
Sawa kaka ntazingatiaKatika harakati zangu za utafutaji inanikuta nabidi kupanda Bolt za pikipi Mara moja moja
Wanaingiza hela sana Kuliko taasisi nyingi sana.
Matatizo yao yapo kwenye, Elimu yao ni ndogo(kuhusu matumizi ya fedha), Wengi wavivu(ubishoo pia) na dharau.
Siku moja anaweza kufikisha 120,000 ambako akitoa hela ya bolt na Mafuta inayobaki kwake sio chini ya 80,000.
Chukua hiyo hela weka kwa siku 25 tuu Inafika hela ambayo Ni kubwa sana.
Tatizo wengi elimu ya hela hawana
Wengine hawafikishi hiyo kwasababu ya uvivu na ku cancel hovyo inayopeleka hawapati abiria kila mara mana nyota zinapungua.
Ushauri wangu ni fanya ukiwa Dar na iwe Bolt na Kuwa mtu wenye nidhamu na kazi sana na kauli nzuri na ujitume
Anapata faida na wanatunza sana familia vizuri tuHivi jamani bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe Inaweza ikawa inamlipa au ni miyeyusho Tu ?
Nifikirie kitu kingine cha kufanya .
Hiyo kazi kupata ulemavu ni dakika 0 tuBoda boda wengi tuko nao vikoba wanajenga na kufanya maendeleo sana tu,hadi natamani na mimi 😅
Shida risk sana kila imagine kila siku kukwepa malori ndo kazi yako!