Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
mmeanza kuwananga wasanii/wanamuziki?Bongo Hakuna celebrities wowote. Kuna waganga njaa wanaoweza jiuza kwa dau lako tu!!!
Kwn tukiwangakwa kutokujitambua kwao ni kosa? lile tukio ww umelichukulikiajemmeanza kuwananga wasanii/wanamuziki?
Watu wanamla kim kardashian sembuse wema..Kwani uongo???We tafuta Mil 2 au 3 tu alafu mtafute Wema au Uwoya Kama hutamla???
Kama una connection mjini fuatilia msanii Young D anakaa na nani alafu Njoo uniambie hapa!!
Wengi wangapi ?Wengi wanakosa elimu na siyo wasomaji wazuri wa vitabu. Hivyo hushindwa kujenga character yenye msingi katika jamii. Ukienda Kenya wasanii wengi wana master na kuendelea hivyo hufanya Sanaa Kwa sababu kipaji Chao halisi.
20Wengi wangapi ?
Kwani nani kasema Kim ni celebrity????Watu wanamla kim kardashian sembuse wema..
Msiwadharau wabongo kisa ni wenzenu kama uchafu unafanyika zaidi Hollywood hapa bongo hata nusu hatujafika
Haihitaji mtu kusema hiyo ni factKwani nani kasema Kim ni celebrity????
Wataje hapa tuthibitishe
Hata hili nilikuwa silijui!!kumbe yule ndio mkwe wake?Mkwe wa Moses Kulola ametia aibu mweee. Ule mtama ukienda haja, lazima kitu kitoke chekundu
Labda ni celeb kwako ila sio kwa watu wenye akili zao kama mie!!Haihitaji mtu kusema hiyo ni fact
Hahahhahaah!!!Mkwe wa Moses Kulola ametia aibu mweee. Ule mtama ukienda haja, lazima kitu kitoke chekundu
Hakika mkuu!!Mkuu Salary Slip , kitaa wanafisiem washaanza #mchomvuchallenge.
Wanadai wapo field, wanafanya majaribio ya zoezi aliloelekeza Nape kule mtama.
Ngoja nasisi tujiandae kujibu jino kwa jino,
Kibongo bongo celeb anaweza kuwa Roma tu