Hivi Bongo kuna celebrities wanaostahili kufuatiliwa kweli?

Hivi Bongo kuna celebrities wanaostahili kufuatiliwa kweli?

Wengi wanakosa elimu na siyo wasomaji wazuri wa vitabu. Hivyo hushindwa kujenga character yenye msingi katika jamii. Ukienda Kenya wasanii wengi wana master na kuendelea hivyo hufanya Sanaa Kwa sababu kipaji Chao halisi.
hiyo Kenya unayoizungumzia ndiyo hawa majirani zetu tunaopakana nao au kuna kenya nyingine?
 
Kwani uongo???We tafuta Mil 2 au 3 tu alafu mtafute Wema au Uwoya Kama hutamla???

Kama una connection mjini fuatilia msanii Young D anakaa na nani alafu Njoo uniambie hapa!!
Mkuu ml 2 au 3 tafuta laki 5 kisha njoo chemba tuongee.
 
Wengi wanakosa elimu na siyo wasomaji wazuri wa vitabu. Hivyo hushindwa kujenga character yenye msingi katika jamii. Ukienda Kenya wasanii wengi wana master na kuendelea hivyo hufanya Sanaa Kwa sababu kipaji Chao halisi.
Wataje wasanii wa Kenya wenye masters..... Muda mwingine sijui watu wanafikiria Kenya imeendelea kwa kila kitu yaani Hadi mnatia aibu.
 
Kingine kinachonisaidia pengine ni kutoona umuhimu wa kusikiliza baadhi ya vituo vya Radio vya FM kwani huwa sioni la maana la kunivutia kusikilza na ndio maana hata watangazaji wengi wa vituo hivi huwa hata siwajui.
Mkuu mie ndio nimejua kumbe kituo cha clouds bado kipo! nilikuwa najua kilishajifia zamani.
 
Wengi wanakosa elimu na siyo wasomaji wazuri wa vitabu. Hivyo hushindwa kujenga character yenye msingi katika jamii. Ukienda Kenya wasanii wengi wana master na kuendelea hivyo hufanya Sanaa Kwa sababu kipaji Chao halisi.
Kenya sasa kuna msaanii gani?
🚮🚮🚮🚮🚮
 
Bongo hakuna wasanii kuna wasaka tonge tu.
Haiwezeni wasanii zaidi ya 200 wameshindwa kutoa hata wimbo mmoja tu unaoeleweka wakati Captain Komba mmoja tu aliweza kuteka Nchi nzima.
 
Mleta mada ni mtu wa siasa sasa hapo unategemea utajua nini upande wa burudani? hata hivyo tatizo sio hao celebrities bali hao raia wenyewe wakoje na hali yenyewe ikoje? jinsi walivyo wenzetu huko mbele ndio hutoka ma celebrities wanaoendana na jamii yao ilivyo,tukisema tulinganishe vya kwetu na wenzetu basi kila kitu tutaona cha hovyo hata hao wanasiasa wetu nao ni vilevile tu wa aina yetu hatuna wanasiasa wa maana pia.
 
Wenyewe wanakuambia Mimi Jina langu ni "brand"
Kubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Wakati watu wanafuatilia na kujadili lile tukio la jana, mimi kwa kiasi fulani bado nashangaa kuona eti wale ndio miongoni mwa celebrities wa Bongo ambao watu wanatumia muda wao kuwafuatilia na kuwajadili kwa maana ya kuwaona ni watu wanaostahili kufuatiliwa sio tu kwa tukio la jana, bali kufuatilia mwenendo wao wa maisha.

Mtu katoka mtaani kaajiriwa katika chombo fulani cha habari au kawa msanii wa mziki/filamu teyari watu wanaanza kumfutalia na kumuona ni mtu maarufu kwao!! Nashukuru Mungu huu ujinga mimi sina na ndio maana hata wale wa jana ndio kwanza nimewasikia hiyo jana na nimejithibitishia nilikuwa sahihi kutowajua na kutojua habari zao.

Kingine kinachonisaidia pengine ni kutoona umuhimu wa kusikiliza baadhi ya vituo vya Radio vya FM kwani huwa sioni la maana la kunivutia kusikilza na ndio maana hata watangazaji wengi wa vituo hivi huwa hata siwajui.

Wabongo sijui tukoje maana hawa ndio watu tunaowafutilia pengine kuliko hata wale ambao maamuzi yao yanaathiri au kugusa maisha yetu.
Celebrity bongo ni watatu tu,Diamond,Ali Kiba,Lady Jay D.
 
Back
Top Bottom