enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,109
- 3,677
Usikute na wewe ni miongoni mwa wale wanaojiita celebrities! So dummy.Mpaka unaleta nyuzi hapa Kwa ajiri yao, basi wanastahili kufuatiliwa!!
Na Kwa wewe inaonyesha ni mfuatiliaji mzuri Sana, sasa unayemuuliza sijui ni Nani sasa!
hiyo Kenya unayoizungumzia ndiyo hawa majirani zetu tunaopakana nao au kuna kenya nyingine?Wengi wanakosa elimu na siyo wasomaji wazuri wa vitabu. Hivyo hushindwa kujenga character yenye msingi katika jamii. Ukienda Kenya wasanii wengi wana master na kuendelea hivyo hufanya Sanaa Kwa sababu kipaji Chao halisi.
Ongea kile unacho kijua kuhusu wasanii wa kenyahiyo Kenya unayoizungumzia ndiyo hawa majirani zetu tunaopakana nao au kuna kenya nyingine?
Mkuu ml 2 au 3 tafuta laki 5 kisha njoo chemba tuongee.Kwani uongo???We tafuta Mil 2 au 3 tu alafu mtafute Wema au Uwoya Kama hutamla???
Kama una connection mjini fuatilia msanii Young D anakaa na nani alafu Njoo uniambie hapa!!
Kuna shida? Heshimu kazi za watu wewe, kwani huwalishi na hujawahi wapa hata chochote inakuuma nini dadaUsikute na wewe ni miongoni mwa wale wanaojiita celebrities! So dummy.
Wataje wasanii wa Kenya wenye masters..... Muda mwingine sijui watu wanafikiria Kenya imeendelea kwa kila kitu yaani Hadi mnatia aibu.Wengi wanakosa elimu na siyo wasomaji wazuri wa vitabu. Hivyo hushindwa kujenga character yenye msingi katika jamii. Ukienda Kenya wasanii wengi wana master na kuendelea hivyo hufanya Sanaa Kwa sababu kipaji Chao halisi.
Mkuu mie ndio nimejua kumbe kituo cha clouds bado kipo! nilikuwa najua kilishajifia zamani.Kingine kinachonisaidia pengine ni kutoona umuhimu wa kusikiliza baadhi ya vituo vya Radio vya FM kwani huwa sioni la maana la kunivutia kusikilza na ndio maana hata watangazaji wengi wa vituo hivi huwa hata siwajui.
Kenya sasa kuna msaanii gani?Wengi wanakosa elimu na siyo wasomaji wazuri wa vitabu. Hivyo hushindwa kujenga character yenye msingi katika jamii. Ukienda Kenya wasanii wengi wana master na kuendelea hivyo hufanya Sanaa Kwa sababu kipaji Chao halisi.
Hahaha watu wameji brand miaka 20 alafu anatokea mtu analeta pigo za kiwakiWenyewe wanakuambia Mimi Jina langu ni "brand"
Kubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Celebrity bongo ni watatu tu,Diamond,Ali Kiba,Lady Jay D.Wakati watu wanafuatilia na kujadili lile tukio la jana, mimi kwa kiasi fulani bado nashangaa kuona eti wale ndio miongoni mwa celebrities wa Bongo ambao watu wanatumia muda wao kuwafuatilia na kuwajadili kwa maana ya kuwaona ni watu wanaostahili kufuatiliwa sio tu kwa tukio la jana, bali kufuatilia mwenendo wao wa maisha.
Mtu katoka mtaani kaajiriwa katika chombo fulani cha habari au kawa msanii wa mziki/filamu teyari watu wanaanza kumfutalia na kumuona ni mtu maarufu kwao!! Nashukuru Mungu huu ujinga mimi sina na ndio maana hata wale wa jana ndio kwanza nimewasikia hiyo jana na nimejithibitishia nilikuwa sahihi kutowajua na kutojua habari zao.
Kingine kinachonisaidia pengine ni kutoona umuhimu wa kusikiliza baadhi ya vituo vya Radio vya FM kwani huwa sioni la maana la kunivutia kusikilza na ndio maana hata watangazaji wengi wa vituo hivi huwa hata siwajui.
Wabongo sijui tukoje maana hawa ndio watu tunaowafutilia pengine kuliko hata wale ambao maamuzi yao yanaathiri au kugusa maisha yetu.
Young D anakaa na naniKwani uongo???We tafuta Mil 2 au 3 tu alafu mtafute Wema au Uwoya Kama hutamla???
Kama una connection mjini fuatilia msanii Young D anakaa na nani alafu Njoo uniambie hapa!!
Anakaa na Tunda !!Kwani uongo???We tafuta Mil 2 au 3 tu alafu mtafute Wema au Uwoya Kama hutamla???
Kama una connection mjini fuatilia msanii Young D anakaa na nani alafu Njoo uniambie hapa!!