Hivi Bongo movie hawawezi kuuza movie zao kwenye flash?

Nikitazama filamu za chaplin za miaka 100 iliyopita ni kali best scenes and stunts kali kioma ambazo kwa bongo hii ata 2040 bado hatuwez kufikia.
 
HV hawa waigizaji hua wanalipwa bei gani?
Sijui mkuu ila ukiotea mahojiano yao husema wanalipwa vizuri. Na nadhani hakuna kiwango fixed cha kuwalipa ila hulipwa kulingana na ukubwa wa majina yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…