Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

Hiki ulichokiandika kinahusiana vipi na swali langu?

Diamond kukosa hata Diploma kunahusiana vipi na swali langu?

Diamond ni msanii wa Bongo Movie?

Mbona hata Msukuma au Bashite hawana shule, maisha yao yakoje?

Usionekane tu kua umechangia, changia kitu cha maana.Changia kitu chenye mantiki.
Ahaha mkuu umesahau kati ya watanzania watano wangapi wanaugonjwa wa akili
 
Mawazo ya kijinga na kimasikini. Mawazo ya kukata tamaa ya maisha.
Huwezi ku-ignore umuhim wa shule kisa wewe huna kazi.
Madhumuni ya msingi ya elimu sio kukusaidia upate kazi, ni kukuondolea ujinga na utaahira kichwani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mtoa mada watu kama nyie ndo huwa nawatafutaga!!
Una elewa nini maana ya kipaji?? Na vp unauelewa utofauti uliyopo baina ya elimu na kipaji??
Darasani huwa tunafundishwa kuwa watu fulani! Hatufundishwi kuwa uhalisia wetu!! Wangapi wamesoma mpaka wana madegree ila wanaamua kutunza vyetu na kuanza kuishi uhalisia wako!
Hujanielewa...! Ni hivi kila mmoja mungu aliweka kitu ndani yake! Lakini thamani ya kitu hiki hakitambuliki mpaka pale mtu anapoanza kukitumia! Unafundishwa kuwa daktari ila huzaliwa kuwa daktari, nadharia za shule nitofauti na uhalisia wako! Mfano mzuri ni Erick Shigongo, fuatilia historia ya huyu mtu ndo utajua kuwa kati ya elimu unayoiongelea na uhalisia wa mtu, kipi chenye thamani!!
Kwasasa watu tunaishi kwa mtazamo wa jamii inayokuzunguka ila hatuishi jinsi ambavyo tunatakiwa kuishi! Leo hii ukiweka elimu pembeni, una nini kingine kitakachokufanya uonekane wa thamani kwa wanao kuzunguka??? Kama huna jibu mpaka sasa basi wewe unaongozwa na dunia na si kuiongoza dunia!!
Mtu anapoishi uhalisia wake mwacheni hii habari ya kuja kuanzisha maada kama hizi halafu kwa bahati mbaya watu wakishaona na wao wana magamba ambayo aliyapata kwa kukariri notes basisanajiona ye ni wa maana kuliko yule mwigizaji anayeishi uhalisia wake!!!!!
Ushauri wangu kwenu! Ni kuwa badilisheni mitazamo yenu kwani kila mmoja anayo life purpose yake! Ukiwa unaona yako bado hujaigundua, fanya jitihada ya kuitambua ili kuishi maisha yenye maana na update maana halisi ya maisha!!
Ili kuelewa vema kipo kitabu nakiandaa kinaitwa TAMBUA NGUVU ILIYO NDANI YAKO nahisi nikikitoa basi utaelewa kuwa nina maana gani!!!!
bernadusmusa96@gmail.com/0762624780
 
Marehemu kaka yangu John Stephano Maganga (R.I.P) alikua graduate wa ifm bachelor of tax administration
 
Hahah kamata fursa,naona umeamua kuuza na kitabu chako aisee
 
Habari ya jumamosi wakuu.

Najaribu kujiuliza, katika fani hii ya uigizaji Tanzania au maarufu kama Bongo Movie, kuna muigizaji ana elimu ya kiwango cha shahada au zaidi?

Nasikia kwenye Muziki wapo waimbaji wenye shahada moja na kuendelea kama Nick Mbishi kama sijakose anasikia ana shahada ya uzamili(masters degree).

Au Tanzania sanaa ya uigizaji imebakia kua ni kipaji hata kama hujui kusoma na kuandika. Wasanii wetu hawa kiwango chao cha shule kikoje. Au ndio vile ukiwa na matako makubwa na ukajua kutembea na chupi tu na dadies nyingi unakua muigizaji mkubwa?

The Rock ana shahada ya criminology, David Otunga ana Masters degree ya sheria toka Havard university, ni sehemu wa waigizaji wakubwa wenye shule kubwa.

Je Bongo movie hali yao ikoje?

Ahsante.
Bongo movie hakuna mwenye kiwango hicho
 
Mkuu hata Masters ni degree, inaitwa masters degree, na hiyo nyingine ambayo ni first degree inaitwa Bachelor degree na ile ya tatu inaitwa PhD degree. Zote hizo ni degree, sasa ukisema ana degree au masters inaonekana hujui kitu.
haki umejua kokomesha
 
Back
Top Bottom