Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

Wengi wao ni vilaza wakubwa...ukishakuwa na uwezo wa kuvua chupi au kutembea na chupi kwapani tu basi umekuwa mwigizaji!
 
David Otunga huyu km nampata hiv alikuwa WWE baadae nikamuona anatangaza na sasa sijui yuko wapi.
Bongo movie kitambo sana sijawahi kuangalia sbb za movie zao hazieleweki. Sijajua mkuu ngoja waje watazamaji
Sasa hivi anajishughulisha pia na Mambo ya fitness,gym cjui nn huko....yani tuseme gym trainer (kwa wenzetu inalipa sana)
 
hata shahada ya darasa la saba hawana kama wana degree basi akili yao inazidiwa na muuza tangawizi picha zao ovyo ovyo awajui kuigiza wao mapenzi tu nyumbani nzuri ya geti wachman mfungua geti lazima awe kama mchekeshaji hivi au kichaa fulani pia film nyingi waganga wakienyeji kupiga ramli mnaboa
 
hivi nani alisema hawa wasanii kioo cha jamii kwenye katiba au anaesema kioo cha jamii ni kwake na familia yake kioo cha jamii na wachungaji mapadri maaskofu mashehe
 
nilikuwa naangalia waigizaji wa Korea wengi wao unakuta wana degree za masuala ya sanaa..

sio hao tu hata wamarekani wengi utakuta wamesoma degree za masuala ya filamu.. si ajabu ndo maana hata filamu zao zinakuwa na ubora.

ila hawa wa kwetu sasa wengi hawakumaliza shule kisa wanafuata dreams zao
mwisho wa siku wanatutengenezea vituko
 
Myamba, yule jamaa alikuwa anavaa uhusika wa upasta. Aliigiza na marehemu Kanumba "Dar to Lagos" ni degree holder!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…