Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

Yupo jamaa mmoja hivi Jina limenitoka ila kuna muvi amecheza na marehemu kanumba inaitwa kijiji cha tambua haki, amecheza kama jamaa mnoko! Ana degree ya political science, now yupo Chama cha Mapinduzi
 
Rubbish.
Nenda chuo cha sanaa bagamoyo halafu urudi kuandika huu ujinga wako.

Chuo cha sanaa Bagamoyo(Tasuba) hawatoi elimu ya sanaa ngazi ya shahada. Sasa kama umeandika ukizani sikijui hicho chuo utakua unajidanganya, au nikutajie hadi waalim wake na mkuu wa chuo?

Bado ulichokiandika hakina mantiki na hakihusiani na swali langu.
 
The Rock mbona nae ni wwe?
 
Ndio wapo
 
Kuna mmja nmesoma nae anaigiza na ana degree
 
Wangesoma soma wangejikita kimataifa zaidi nakutoa muvi za maana ata za historia yza man Tanzania.maji maji war.za kina mangi meli .mangi sina .chief mkwawa.kinjekitile.wanaweka kamuvi kakihistoria wanakiongezea chumvi kidogo.Watoto wetu wanawajua kina jumong kabla ata ya kuanza shule.wakati tungekua na zetu ingewasaidia sana kujua historia
 
Kama wana hela, hizo degree sio ishu sana. Hela ndo za msingi. Kujisifia degree ni kizamani sn mkuu. Mi mwnyw na elimu yng maisha yananipiga vitasa vya uso kichizi yn. Bora hata ile miaka mi3 ya chuo, ningekuwa nipo kitaa nasaka noti.
Mawazo ya kijinga na kimasikini. Mawazo ya kukata tamaa ya maisha.
Huwezi ku-ignore umuhim wa shule kisa wewe huna kazi.
Madhumuni ya msingi ya elimu sio kukusaidia upate kazi, ni kukuondolea ujinga na utaahira kichwani
 
Lengo kuu la shule sio kukupa au kukusaidia upate kazi. Madhumuni ya shule ni kukuondolea ujinga kichwani mwako na kukufungua, kukupa mwanga, sio kukupa kazi.

Kama unadhani ulienda shule ili upate kazi basi hujaenda shule, rudi shule mheshimiwa.
 
Fala wewe sasa unasoma ili iweje?
We kama unasoma ili upate hela jumatatu peleka tu barua ya kusitisha masomo,Ukisoma unapata posho tu ya kukusaidia kuishi huku ukifanya kile unachokipenda kuhudumia jamii, elewa mada tunaonglea kusoma hatuongelei kupata hela. Kuna maprof kibao ila hela ya kuungaunga. Aya swali ni hivi kuna bongo movie myenye degree .?
 
Kuna yule aliye act FAKE pastor sa hvie marehemu ADAM KUMBIANA yule an degree ya sheria na mwingine marehemu anaitwa TYSON ni director alikua mume wake mwanalisa ana degree ya law pia ila nae marehemu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…