Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Elewa maana ya KUTOKUWA NA KAZI, na KUTOKUWA NA HELA. Hivi ni vitu viwili tofauti na kila kimoja kinaweza kutokea pasipo kingine. Yan unaweza ukawa na kazi na usiwe na hela, japo ni mara chache ukawa na hela halafu usiwe na kazi.Mawazo ya kijinga na kimasikini. Mawazo ya kukata tamaa ya maisha.
Huwezi ku-ignore umuhim wa shule kisa wewe huna kazi.
Madhumuni ya msingi ya elimu sio kukusaidia upate kazi, ni kukuondolea ujinga na utaahira kichwani mwako, ni kufungua kichwa chako.
Wewe bado hujaenda shule. Rudi shule.
Unajuaje kama mimi sina kazi..??
Mimi nimezungumzia kutokuwa na hela, wewe unasema kutokuwa na kazi.
Nonsense...!!!
Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app