Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

Mawazo ya kijinga na kimasikini. Mawazo ya kukata tamaa ya maisha.

Huwezi ku-ignore umuhim wa shule kisa wewe huna kazi.

Madhumuni ya msingi ya elimu sio kukusaidia upate kazi, ni kukuondolea ujinga na utaahira kichwani mwako, ni kufungua kichwa chako.

Wewe bado hujaenda shule. Rudi shule.
Elewa maana ya KUTOKUWA NA KAZI, na KUTOKUWA NA HELA. Hivi ni vitu viwili tofauti na kila kimoja kinaweza kutokea pasipo kingine. Yan unaweza ukawa na kazi na usiwe na hela, japo ni mara chache ukawa na hela halafu usiwe na kazi.

Unajuaje kama mimi sina kazi..??

Mimi nimezungumzia kutokuwa na hela, wewe unasema kutokuwa na kazi.

Nonsense...!!!



Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wao elimu yao 4m 4 asilimia kubwa sana ila sijajua tatizo nini aisee ukiwa mzuri una dabo kibin ya kufa mtu aaah mbona bonho movie umeula utacheza muvie kama mia hvie
 
Elewa maana ya KUTOKUWA NA KAZI, na KUTOKUWA NA HELA. Hivi ni vitu viwili tofauti na kila kimoja kinaweza kutokea pasipo kingine. Yan unaweza ukawa na kazi na usiwe na hela, japo ni mara chache ukawa na hela halafu usiwe na kazi.

Unajuaje kama mimi sina kazi..?? Mbn unajifanya unanielewa kma mke wng vile???

Mimi nimezungumzia kutokuwa na hela, wewe unasema kutokuwa na kazi.

Nonsense...!!!



Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
Kutokua kwako na hela kunahusiana nini na hii mada dada angu?

Tafuta mume uolewe, acha kudandia waume za watu dada angu.
 
Habari ya jumamosi wakuu.

Najaribu kujiuliza, katika fani hii ya uigizaji Tanzania au maarufu kama Bongo Movie, kuna muigizaji ana elimu ya kiwango cha shahada au zaidi?

Nasikia kwenye Muziki wapo waimbaji wenye shahada moja na kuendelea kama Nick Mbishi kama sijakose anasikia ana shahada ya uzamili(masters degree).

Au Tanzania sanaa ya uigizaji imebakia kua ni kipaji hata kama hujui kusoma na kuandika. Wasanii wetu hawa kiwango chao cha shule kikoje. Au ndio vile ukiwa na matako makubwa na ukajua kutembea na chupi tu na dadies nyingi unakua muigizaji mkubwa?

The Rock ana shahada ya criminology, David Otunga ana Masters degree ya sheria toka Havard university, ni sehemu wa waigizaji wakubwa wenye shule kubwa.

Je Bongo movie hali yao ikoje?

Ahsante.
Wema Sepetu
 
Yupo jamaa mmoja hivi Jina limenitoka ila kuna muvi amecheza na marehemu kanumba inaitwa kijiji cha tambua haki, amecheza kama jamaa mnoko! Ana degree ya political science, now yupo Chama cha Mapinduzi
Bila shaka atakuwa ni mzee Jengua huyo au kama sio basi lazima atakuwa ni Muhogo mchungu! Au unamzungumzia Afande Dere?
 
Kama wana hela, hizo degree sio ishu sana. Hela ndo za msingi. Kujisifia degree ni kizamani sn mkuu. Mi mwnyw na elimu yng maisha yananipiga vitasa vya uso kichizi yn. Bora hata ile miaka mi3 ya chuo, ningekuwa nipo kitaa nasaka noti.
Maisha yanakupiga chenga kwa sababu ulikwenda shule kukariri bila kuelewa unataka nini huko shule. Uliamini kuwa degree inakupa kibali cha "kuokota" pesa bila kuwaza wala kufanya kazi kubwa. Sasa experience yako potofu bado haiondoi UMUHIMU wa shule. Ina umuhimu wake mkuu japo sio tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio kama watu wa aina yako (wenye shule bila elimu) wanavyodhani.
 
Unajionyesha ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri, we unafikiri watu wanasoma ili wapate hela.? We kama unasoma ili upate hela jumatatu peleka tu barua ya kusitisha masomo,Ukisoma unapata posho tu ya kukusaidia kuishi huku ukifanya kile unachokipenda kuhudumia jamii, elewa mada tunaonglea kusoma hatuongelei kupata hela. Kuna maprof kibao ila hela ya kuungaunga. Aya swali ni hivi kuna bongo movie myenye degree .?
Hata kuandika kwenyewe hujui, halafu wewe naye useme ati umesoma?
 
Ni juma mchopa, sio yule chiki wa mchopanga! Mchiz flani anapua nene hivi,
Ndo huyo huyo chiki namfahamu sana ni alikua mwenyekiti wa bongo movie kabla ya steve kinyerere mzee wa uzalendo ila huyo mwenye pua nene namwonaga sana lumumba hapa nikipata kwenda chuo D.I.T
 
Back
Top Bottom