Hivi Bongo tunasoma ili iweje?

Tunasoma ili tujue kusoma, kuandika na kuhesabu basi.
 
Kusoma ni kitu personal sana cha mtu

Nachojua tunasoma tupate uelewa,kutanua uwezo wetu wa kufikiri na kupata majawabu mazuri na endelevu ya shida zetu kama wanadamu

Sasa kama unaenda kusoma kama somekind fulani hivi ya financial transaction au eti ili uweze kua mwanadamu wa kuajirika ufanyie kazi systems kama roboti,basi kuna tatizo mahali utakua hujui umekuja duniani kufanya nini hasa

Nachojua best skill to ever have ni to know how to make best decisions on everything!
 
Kuna mdau alikomenti jf akasema kwamba ccm inaogopa kutoa elimu bora maana watu hawatawalika . Sijawahi elewa hii dhana.
kwahiyo kwa dhana yake tatizo ni ccm
 
wengi wanasoma kwasababu ya hii option ya pili, muuulize kijana kwa nini kozi hii na sio ile utaona jibu lake
 
wengi wanasoma kwasababu ya hii option ya pili, muuulize kijana kwa nini kozi hii na sio ile utaona jibu lake
Ndio maana wanaposhindwa maisha wanaanza kusingizia zile "elimu" zao walizonunua kama commodity dukani kwamba watapata faida wakija kuiuza

Wanachoshindwa kujua ni kwamba kupata mali na kupata elimu ni vitu viwili tofauti

Kupata elimu kama bidhaa eti ili uje uize baadae upate faida ni biashara ya ajabu maana kuna kupata hasara au faida,wakipata hasara wanaanza kulia

Kuliko kufanya hiyo biashara ni heri ufanye biashara ya kawaida kabisa ya kuuza tangible products kwa wanadamu wengine wakulipe

Watu wanatafuta uelewa na how to think effectively to help them to solve problems in their lives and not otherwise.

Getting money or not getting money is the by-product!
 
Umeandika vyema
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“ achukue jina hilo maaan ni poor kweli
Mkuu sometimes nitakuwa nikikuita sana kwenye comments za watu wenye uhalisia wa jina lako
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mkuu sometimes nitakuwa nikikuita sana kwenye comments za watu wenye uhalisia wa jina lako
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Alafu mwenye jina nipo understanding kinoumaaaaaa
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Alafu mwenye jina nipo understanding kinoumaaaaaa
Leo kazi yangu nikuwatafuta watu wote wenye haiba ya jina lako.
Usichukie wala kuchoka pale nikuitapo.
 
Leo kazi yangu nikuwatafuta watu wote wenye haiba ya jina lako.
Usichukie wala kuchoka pale nikuitapo.
Sawa sawa mkuu wee wabatize tuu.....
Kikosi jeshi. 07 πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Mawazo yako ni sehemu ya madhara ya kua na elimu duni, mtu wa kulaumu katika nchi hi ni mwl Nyerere, hakutaka kuelimisha wa Tanzania zaidi ya kuwapa basics za elimu tu.
Huyo Nyerere ameondoka madarakani lini?Kwa nini hamkubadilika kwa kuona ya kwake yaliwapotosha?Hapo mjinga na mwehu ni nani?
 
Mawazo yako ni sehemu ya madhara ya kua na elimu duni, mtu wa kulaumu katika nchi hi ni mwl Nyerere, hakutaka kuelimisha wa Tanzania zaidi ya kuwapa basics za elimu tu.
Wewe ndio huelewi hata Transition ya Elimu yetu

Mwl. Nyerere si ndiye aliyeleta Elimu ya Ujamaa na Kujitegemea?

Wakati wake si ndio tulipata Mabwana Shamba na Mabibi Shamba wabobezi, Ma carpenter wazuri, Washonaji wazuri wa nguo mpaka batiki

Si ndiye alisisitiza kuwepo na vyuo vya ufundi kina Arusha Tech, Mbeya Tech na Moshi Tech?

Angalia waliosoma Middle School walivyokuwa vizuri

Sasahv elimu ndio imekuwa hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…