Pyramid scheme iliyovuma kuliko zote ilikuwa DECI. Watu tulifahamu kuwa baada ya ile watu watajifunza na mamlaka zitajifunza na kitu kile hakitakuja tokea tena.
Lakini kumbe ni kama DECI ilifungua mlango wa soko la upatu. Zimepita pyramids schemes nyingi sana hapa kati. Kila moja watu wakilia. Na mambo hizi hazifanyiki sirini. Yanafanyika waziwazi.
Kwa nini BOT wanashindwa kuzuia hivi vitu? Au nayo inahusika kutapeli watu?
Hawazuii kwa Sababu wakizuia mapema hawatapata pesa nyingi wkt wa kubinafsisha hizo pesa za Pyramid,mfano mzuri ni Kwny DECI,MR. Kuku wamebinafsisha Mabilioni ya shilling.