Hivi BOT Mnasubiri Nini Kuweka Picha Ya Rais Samia katika Noti Zetu? Mnataka Taifa lifanye Maandamano yasiyo na kikomo?

Mimi ni akili kubwa na Msomi mkubwa
Msomi hujulikana kwa matendo, maneno na maandiko yake, wewe ni chawa inayeishi kwa uchawa
Screenshot_20260406-150040~5.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika Noti Zetu?

Hivi Haioni na kusikia Kiu Waliyonayo Watanzania katika Vifua vyao juu ya Kuhitaji Kuona picha ya Rais wetu Mpendwa katika Noti zetu? Mnataka watanzania wafanye maandamano ndio mpate kuelewa kilio na hitaji la watanzania?

Mnataka watanzania wafike hadi ofisini kwenu kwa hasira ndio mfanye kwa shinikizo? Mnasubiri nini kuanza mchakato huo?

Hamtambui kuwa RAIS Samia ndiye Rais Wa kwanza Mwanamke kuongoza Taifa letu? Je hamuoni hiyo Ni heshima inayohitaji kutambuliwa kwa vizazi hadi vizazi vyaTaifa letu?

Je hamuoni namna RAIS Wetu alivyofanya Mambo makubwa ya kimaendeleo katika Taifa letu?

Kama umoja tu wa Afrika yaani AU Umetambua Mchango wa Rais Samia barani Afrika na kumtambua kama Bingwa na Nguli wa kutokomeza Vifo vya Mama na Mtoto . Ninyi mnataka nini na muone kipi mpate kuelewa na kutimiza haja ya watanzania na kukata kiu waliyonayo?

Kama Tu Nchi 20 Matajiri Zaidi Duniani Inampatia heshima na kumualika katika Mkutano wao kule Brazil. Ninyi mnataka muone nini ndio mpate kuelewa na kutimiza takwa la watanzania?

Kama RAIS Samia alipata heshima ya kuwa makamu Mwenyekiti wa kujadili Matumizi ya nishati safi ya kupikia katika mkutano uliofanyika kule Paris Ufaransa. Ninyi mnataka muone kipi mpate kuelewa Ukubwa wa Rais Samia katika Hii Dunia na Bara la Afrika kwa ujumla wake?

Kama vyuo mbalimbali Duniani kote vimemtunuku shahada za heshima za Udaktari kila pembe ya Dunia. Ninyi mnataka kuona kipi mpate kusadiki na kutimiza hitaji la watanzania? Mnataka na kusubiri nini ?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bora kwenye hizo noti hata wakaweka matako yako!
 
ZILAANIWE SHAHAWA CHAFU ZA BABA YAKO ZILIZOKUZAA ***** LUCAS MWASHAMBWA
 
Naendelea kumlaumu Mzee Mwashambwa, ni kwanini hakupiga nyeto akakumwaga bafuni? Aliona raha kukojoa ndichi. Shida hii.
 
Wakiweka ila yuko na yule bonge wa Zimbabwe si poa tuu wanazengo?.
 
Back
Top Bottom