Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #61
Hata Wewe ni Hazina unayepaswa kutunzwa kama Bustani ya Kitalii na kulindwa kama Mboni ya JichoWe ni hazina ya hili taifa..... nashauri utunzwe ulindwe

Hoja hujibiwa kwa hojaLukas ni kama anajuongeleshaga mwenyewe 😁😁😁
Kufuru kivipiKufuru hii.
Sipo katika kufanya mzaha na utani hapaWaweke hizi:
Khahh!! Hizi vurugu Umeanza lini weyee??
Hivi Haioni na kusikia Kiu Waliyonayo Watanzania katika Vifua vyao juu ya Kuhitaji Kuona picha ya Rais wetu Mpendwa katika Noti zetu? Mnataka watanzania wafanye maandamano ndio mpate kuelewa kilio na hitaji la watanzania?
Mnataka watanzania wafike hadi ofisini kwenu kwa hasira ndio mfanye kwa shinikizo? Mnasubiri nini kuanza mchakato huo?
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika Noti Zetu?

Hamtambui kuwa RAIS Samia ndiye Rais Wa kwanza Mwanamke kuongoza Taifa letu? Je hamuoni hiyo Ni heshima inayohitaji kutambuliwa kwa vizazi hadi vizazi vyaTaifa letu?
Je hamuoni namna RAIS Wetu alivyofanya Mambo makubwa ya kimaendeleo katika Taifa letu?
Kama umoja tu wa Afrika yaani AU Umetambua Mchango wa Rais Samia barani Afrika na kumtambua kama Bingwa na Nguli wa kutokomeza Vifo vya Mama na Mtoto . Ninyi mnataka nini na muone kipi mpate kuelewa na kutimiza haja ya watanzania na kukata kiu waliyonayo?
Kama Tu Nchi 20 Matajiri Zaidi Duniani Inampatia heshima na kumualika katika Mkutano wao kule Brazil. Ninyi mnataka muone nini ndio mpate kuelewa na kutimiza takwa la watanzania?
Kama RAIS Samia alipata heshima ya kuwa makamu Mwenyekiti wa kujadili Matumizi ya nishati safi ya kupikia katika mkutano uliofanyika kule Paris Ufaransa. Ninyi mnataka muone kipi mpate kuelewa Ukubwa wa Rais Samia katika Hii Dunia na Bara la Afrika kwa ujumla wake?
Kama vyuo mbalimbali Duniani kote vimemtunuku shahada za heshima za Udaktari kila pembe ya Dunia. Ninyi mnataka kuona kipi mpate kusadiki na kutimiza hitaji la watanzania? Mnataka na kusubiri nini ?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Leo si WikendiKhahh!! Hizi vurugu Umeanza lini weyee??
Unatumika kumdhihaki Rais wetu!!Ndugu zangu Watanzania,

Ondoa Ujinga wako hapaUnatumika kumdhihaki Rais wetu!!
Unajua kabisa kwa hili andiko lazima atachambuliwa, atasimangwa na atatukanwa!! Kwahiyo wewe ni mtu mbaya sana kwa Ustawi na heshima ya Ofisi ya Rais. Hustahili kuendelea kupokea Posho ya kumsemea
Baba wa taifa ndio nani? Bora hela zikae bila picha ya mtuNoti zetu zote zitakuwa na picha ya Baba wa Taifa, na Mnyama Simba.
Mimi naongea ukweli na siyo kusifiaUngeitumia huo muda kumsifia Mungu ungefika mbali
Usimueke binadamu kama Mungu kwako
Inatakiwa sasa ili apate faraja na kumuongezea Hamasa zaidi na siyo akiwa amestaafu ndio tunaanza mchakatoNi kweli Rais Samia anapaswa kufanyiwa jambo la kukumbukwa kwakuwa Rais wa Kwanza mwanamke.
Ila muacheni kwanza sio kila kitu mumfanyie sasa.
Mengine mfanyieni akiwa amemaliza muhula wake atasikia faraja zaidi kuliko ilivyo sasa.