Hivi BOT Mnasubiri Nini Kuweka Picha Ya Rais Samia katika Noti Zetu? Mnataka Taifa lifanye Maandamano yasiyo na kikomo?

Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Beafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unataka awekwe kwenye hizi hizi mnazozigawa kwa Hawa au awekwe kwenye zile za kizimkazi?
 
Attachments

  • 6357065-b3779e230ae74c5db98583bd4fa40ae8.mp4
    16.7 MB
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unajua kuwakeraaaa 😅😅
Sema pesa zitanoga sana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mhia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani Rais mwenyewe anataka?
 
Rais wa Marekani George Washington alikua mwanapinduzi akiiongoza Marekani kupata uhuru (wanaojua zaidi watanisahihisha)

Mfano wa baba wa taifa Nyerere
Na tayari yupo kwenye pesa yetu

Sasa Luka niambie ni ma Rais wa ngap wa Marekani wamewekwa kwenye 💸

Kama wamewekwa ni kwa sababu zipi hasa ?
Ukimaliza njoo na sababu za msingi kwa nini sasa unapendekeza au kutoa maoni Rais Samia awekwe kwenye noti

Nasubiri hapa 🍿 nipo tayari kwa mjadala wa heshima na wewe bila matusi wala makasiriko 😊
Nimeweka sababu katika andiko langu kwa hoja nzito kabisa
 
Hippopotamus mvaa shanga hatuwezi kumruhusu kunajisi fedha zetu, kaanzisheni currencies zenu huko Kizimkazi muweke picha zake au wekeni picha zake kwenye kanga na chupi zenu.
Acha ku-expose uchoko wako humu JF, nenda huko mnakokata viuno kwenye kibao kata.
Laana inakusumbua na lazma mwaka huu UFE kama Mbwa koko
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika Noti Zetu?

Hivi Haioni na kusikia Kiu Waliyonayo Watanzania katika Vifua vyao juu ya Kuhitaji Kuona picha ya Rais wetu Mpendwa katika Noti zetu? Mnataka watanzania wafanye maandamano ndio mpate kuelewa kilio na hitaji la watanzania?

Mnataka watanzania wafike hadi ofisini kwenu kwa hasira ndio mfanye kwa shinikizo? Mnasubiri nini kuanza mchakato huo?

Hamtambui kuwa RAIS Samia ndiye Rais Wa kwanza Mwanamke kuongoza Taifa letu? Je hamuoni hiyo Ni heshima inayohitaji kutambuliwa kwa vizazi hadi vizazi vyaTaifa letu?

Je hamuoni namna RAIS Wetu alivyofanya Mambo makubwa ya kimaendeleo katika Taifa letu?

Kama umoja tu wa Afrika yaani AU Umetambua Mchango wa Rais Samia barani Afrika na kumtambua kama Bingwa na Nguli wa kutokomeza Vifo vya Mama na Mtoto . Ninyi mnataka nini na muone kipi mpate kuelewa na kutimiza haja ya watanzania na kukata kiu waliyonayo?

Kama Tu Nchi 20 Matajiri Zaidi Duniani Inampatia heshima na kumualika katika Mkutano wao kule Brazil. Ninyi mnataka muone nini ndio mpate kuelewa na kutimiza takwa la watanzania?

Kama RAIS Samia alipata heshima ya kuwa makamu Mwenyekiti wa kujadili Matumizi ya nishati safi ya kupikia katika mkutano uliofanyika kule Paris Ufaransa. Ninyi mnataka muone kipi mpate kuelewa Ukubwa wa Rais Samia katika Hii Dunia na Bara la Afrika kwa ujumla wake?

Kama vyuo mbalimbali Duniani kote vimemtunuku shahada za heshima za Udaktari kila pembe ya Dunia. Ninyi mnataka kuona kipi mpate kusadiki na kutimiza hitaji la watanzania? Mnataka na kusubiri nini ?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe unaelewa umuhimu wa maandamano...
 
Kuna haja Kila Kata kuwa na Daktari Bingwa wa Afya ya Akili!
Rais wa Marekani George Washington alikua mwanapinduzi akiiongoza Marekani kupata uhuru (wanaojua zaidi watanisahihisha)

Mfano wa baba wa taifa Nyerere
Na tayari yupo kwenye pesa yetu

Sasa Luka niambie ni ma Rais wa ngap wa Marekani wamewekwa kwenye 💸

Kama wamewekwa ni kwa sababu zipi hasa ?
Ukimaliza njoo na sababu za msingi kwa nini sasa unapendekeza au kutoa maoni Rais Samia awekwe kwenye noti

Nasubiri hapa 🍿 nipo tayari kwa mjadala wa heshima na wewe bila matusi wala makasiriko 😊
Labda huko kushinda kwa100%!
 
Mwashambwa acha ushamba!
Kulimba mashamba,kusikufanye mshamba
Hata shamba lisilokuwa na rutuba,huwekwa mbolea ili liwe shamba lenye Tija!
Hata Wewe mwashambwa Kwa Majibu ya upande mwingine yanaonyesha kuwà unahitaji Mabadiliko la sivyo wimbo wa merehemu M.M.Mwinshehe unakuhusu!
Toka lini jogoo la shamba,likawika mjini.
Change your mind, mentally, spiritually, physically!ili usiachwe nyuma kama koti la Babu!
 
Back
Top Bottom