Hivi BOT Mnasubiri Nini Kuweka Picha Ya Rais Samia katika Noti Zetu? Mnataka Taifa lifanye Maandamano yasiyo na kikomo?

Hivi BOT Mnasubiri Nini Kuweka Picha Ya Rais Samia katika Noti Zetu? Mnataka Taifa lifanye Maandamano yasiyo na kikomo?

Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika Noti Zetu?

Hivi Haioni na kusikia Kiu Waliyonayo Watanzania katika Vifua vyao juu ya Kuhitaji Kuona picha ya Rais wetu Mpendwa katika Noti zetu? Mnataka watanzania wafanye maandamano ndio mpate kuelewa kilio na hitaji la watanzania?

Mnataka watanzania wafike hadi ofisini kwenu kwa hasira ndio mfanye kwa shinikizo? Mnasubiri nini kuanza mchakato huo?

Hamtambui kuwa RAIS Samia ndiye Rais Wa kwanza Mwanamke kuongoza Taifa letu? Je hamuoni hiyo Ni heshima inayohitaji kutambuliwa kwa vizazi hadi vizazi vyaTaifa letu?

Je hamuoni namna RAIS Wetu alivyofanya Mambo makubwa ya kimaendeleo katika Taifa letu?

Kama umoja tu wa Afrika yaani AU Umetambua Mchango wa Rais Samia barani Afrika na kumtambua kama Bingwa na Nguli wa kutokomeza Vifo vya Mama na Mtoto . Ninyi mnataka nini na muone kipi mpate kuelewa na kutimiza haja ya watanzania na kukata kiu waliyonayo?

Kama Tu Nchi 20 Matajiri Zaidi Duniani Inampatia heshima na kumualika katika Mkutano wao kule Brazil. Ninyi mnataka muone nini ndio mpate kuelewa na kutimiza takwa la watanzania?

Kama RAIS Samia alipata heshima ya kuwa makamu Mwenyekiti wa kujadili Matumizi ya nishati safi ya kupikia katika mkutano uliofanyika kule Paris Ufaransa. Ninyi mnataka muone kipi mpate kuelewa Ukubwa wa Rais Samia katika Hii Dunia na Bara la Afrika kwa ujumla wake?

Kama vyuo mbalimbali Duniani kote vimemtunuku shahada za heshima za Udaktari kila pembe ya Dunia. Ninyi mnataka kuona kipi mpate kusadiki na kutimiza hitaji la watanzania? Mnataka na kusubiri nini ?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
naunga mkono hoja 100 kwa 100🤝
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania M
 

Attachments

  • Screenshot_20260514-220817~2.png
    Screenshot_20260514-220817~2.png
    1.1 MB · Views: 10
Maoni yenu hayana madhara Wala mashiko,nasikitika kwamba mnachoomba kimefeli kabla!
kwani mdau wa jf akitoa maoni au kueleza mtazamo wake huru jukwaani lazima uwe kama ulivyoomba gentleman?

na kwasababu hiyo,
sidhani kama inafaa mtu awe na makasiriko au mihemko dhidi ya maoni huru ya mTanzania yeyote yule 🐒
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika Noti Zetu?


Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tunasubiri kwanza kuweka kwenye Quran, jina la ALLAH SAMIA na mwanaye MTUME ABDUL??
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Benki KUU ya Mtanz

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ona ulivyo ukiwa umevaa shati la Kijani na Kofia- Ubwabwa, unaikatia mauno CCM na Samia!!!
 

Attachments

  • downloadfile(43).jpg
    downloadfile(43).jpg
    128 KB · Views: 7
Rais wa Marekani George Washington alikua mwanapinduzi akiiongoza Marekani kupata uhuru (wanaojua zaidi watanisahihisha)

Mfano wa baba wa taifa Nyerere
Na tayari yupo kwenye pesa yetu

Sasa Luka niambie ni ma Rais wa ngap wa Marekani wamewekwa kwenye 💸

Kama wamewekwa ni kwa sababu zipi hasa ?
Ukimaliza njoo na sababu za msingi kwa nini sasa unapendekeza au kutoa maoni Rais Samia awekwe kwenye noti

Nasubiri hapa 🍿 nipo tayari kwa mjadala wa heshima na wewe bila matusi wala makasiriko 😊
wewe hata ukimtukana ni sawa tu tumekuruhusu.
 
Unafikiri Wamarekani ni Wajinga kuweka Picha ya George Washington katika Dola Yao? Sijui hata kama unamfahamu George Washington na Historia yake kwa Taifa la Marekani.

Sasa Rais Samia ni Zaidi ya George Washington kwa Taifa letu
Kufuru hii.
 
Back
Top Bottom