mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
Nilikuwa namjibu mtu kwenye jukwaa jingine bahati mbaya nkaquote kwako.Kwa hiyo nisiuze nikalipe madeni ya wakulima na mbegu nisubiri mkimaliza kujenga kiwanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa namjibu mtu kwenye jukwaa jingine bahati mbaya nkaquote kwako.Kwa hiyo nisiuze nikalipe madeni ya wakulima na mbegu nisubiri mkimaliza kujenga kiwanda?
Sasa tutafanyaje mkuu wakati nambari wan ndo kashasema Tanzania ni ya viwanda??Kwa hiyo nisiuze nikalipe madeni ya wakulima na mbegu nisubiri mkimaliza kujenga kiwanda?
Hehe, sorry brother niliquote vibaya.Sasa tutafanyaje mkuu wakati nambari wan ndo kashasema Tanzania ni ya viwanda??
Enzi za Kilimo kwanza zimeshapita mkuu.
Lakini wakati wa kukopa si ulikubali masharti na vigezo lawama za nini Kama ulikuwa unajua gharama ziko juu kwa nini ulijiunga mpaka unaweka password ulikuwa hujui kwamba ni asilimia ishirini na moja acheni mambo ya ajabu kama kitu huwezi unaacha na sio umeshakopa unakuja hapa kulalamika tu pasipo sababu.Wanajukwaa habari, nimekuwa nikijiuliza, hizi taasisi za serikali mbona ziko kimya sana, wakati.ndizo.zenye jukumu la kumlinda mlaji wa mikopo hii ya kwenye simu kutoka tigo na airtel ambao kiukweli wanamwibia mteja. Tigo ukikopa shilingi 120,000/= kwa siku 21 unatakiwa urudishe shilingi 144,600/= ambayo hii ni sawa na riba ya 27.3% kwa mwezi au 328% kwa mwaka, jamani huu ni wizi, hata kama hii mikopo risk yake ipo juu.
Airtel wao ukikopa shilingi 136,000/= utatakiwa urudishe shilingi 161,092/= baada ya siku 21 ambayo ni sawa na riba ya 24.6% kwa mwezi au 320% kwa mwaka.
Kidogo afadhali ni voda ambao wao wanakopesha kwa mwezi, ukikopa shilingi 46,000/= utalipa shilingi 50,140/= baada ya mwezi mmoja, hii ni sawa na riba ya 9% kwa mwezi au 108% kwa mwaka. Japo hii iko juu ila ni nafuu ukilinganisha na mitandao mingine.
Kwa hili naomba BOT na TCRA waingilie kati kulinda haki ya mteja, badala ya kuyaacha haya makampuni ya simu yakiwaibia wateja
Nawasilisha.
Hilo jibu mkuu mtu unalalamika kama vile kuna mtu alikulazimisha kukopa .Dawa ni kuacha kukopa...
Baas!
Raimundo njoo utoe shule hukuDawa ni kuacha kukopa...
Baas!
Kama wewe ni mfanyabiashara, tena wa jati au mkubwa, it makes sense, lakini kama ni mfanyakazi, mwalimu kama mimi, ninayetegemea kulipa kwa kutumia mshahara hizi riba ni kubwa sana wajameniSema wanasaidia, Lakini Airtel Money ndo wezi , Mimi wananikopa laki saba lakini baada ya wiki tatu unarudisha riba 185,000 , VODA hao angalau lakini Mkopo wao ni pesa kidogo mimi wananikopesha mwisho laki nne,
Options ya mkopo tigo ipo vipiMe nimewakopa tigo laki mbili na silipi