Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Sasa kule ni michezoni, ya uwanjani yanabaki uwanjani...msamehe mura
Bado inaniuma muraa
Bado nimemnunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kule ni michezoni, ya uwanjani yanabaki uwanjani...msamehe mura
Bado inaniuma muraa
Bado nimemnunia
Sawa, mimi nashika zangu jembe naenda kulima
[emoji23][emoji23]Daah,.braza huna kingdom fungi kweli???
![]()
, mkuu kwahiyo kubadilisha boxer ni direct proportional na upatikanaji wa kibarua??![]()
Unasemaje wewe?! Wallah utazilipa boxer zangu!! Mwenzako huwa naziweka uvunguni kwa sababu na kale ka-atmosphere ka huko, baada ya mwezi ukizitoa zinakuwa kama mpya na unazipiga round ya pili poa tu bila kuzitesa kwa kuzifua.Nilienda weekend nimezichoma moto. Na ukiendelea na hiyo tabia nitakurudishia kishika uchumba
Unaniabisha bwana unataka nionekane nimeshindwa kazi?Unasemaje wewe?! Wallah utazilipa boxer zangu!! Mwenzako huwa naziweka uvunguni kwa sababu na kale ka-atmosphere ka huko, baada ya mwezi ukizitoa zinakuwa kama mpya na unazipiga round ya pili poa tu bila kuzitesa kwa kuzifua.
HahahaaaTuna imani za kishirikina [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]mmetisha kwa uchafu
Tena...hivi hujaona vile nimejaribu kusawazisha ila tu huyu mtu wako ana roho ngumu, yamenishinda nimeamua kushika jembe nikalime
Lako hiloAisee, hili ni janga kwangu.
Mbona hujaniambia kama ni utani pale pale?tena ukapigilia msumari wa nikome dah!
Tena...hivi hujaona vile nimejaribu kusawazisha ila tu huyu mtu wako ana roho ngumu, yamenishinda nimeamua kushika jembe nikalime
Siku nyingine useme sasa kama utani mi niliumia kweli pale